Donald Trump amwambia Rais wa Urusi, Vladimir Putin kuwa anacheza na moto

Donald Trump amwambia Rais wa Urusi, Vladimir Putin kuwa anacheza na moto

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
"Kitu ambacho Vladimir Putin hajui ni kuwa kama sio mimi mambo mengi mabaya yangekuwa yameitokea Urusi, namaanisha MAMBO MABAYA. Anacheza na moto!

Donald J. Trump
Rais wa Marekani
Mei 27, 2025

========

"What Vladimir Putin doesn’t realize is that if it weren’t for me, lots of really bad things would have already happened to Russia, and I mean REALLY BAD. He’s playing with fire!" –President Donald J. Trump.
'What Vladimir Putin doesn’t realize is that if it weren’t for me, lots of really bad things w...jpg
 
Mwamba Putin yeye hana maneno mengi anasukuma kete tu .
Story zenu za vijiweni.Kipindi putin anatamgaza kuvamia ukrain mkaja na maneno yenu kuwa siku mbili leo miaka mingapi mpaka analazimsiha watu waingie vitani na kwa kiduku.

Kuwa mchambuzi wa forex na uchumi ndio utajua.
Sio misemo kama yule mbunge wa znz mwenye elimu ya sekondari miaka 13.
 
Urusi anaua watu pale Ukraine ila Israel anaua nyani pale Gaza?
Russia alimuuzia Ndege vita iddi Amini!
Sisi alituuzia ant aircraft missile!
Tulipo ishiwa mabomu ya heat seeking missile's!; mrussi alikataa kutuuzia mabomu Hadi Kwa Hard cash au Mikataba migumu Kwa dhamana ya Mali Asili!
Huku Ndege vita za iddi Amini zinatamba Hadi Mwanza Visiwa vya Saa nane!
Lengo lake lilikuwa vita yetu na Uganda iwe Endelevu Ili auze silaha zake!
Kukosa Hekima ya J.K.Nyerere Kuomba msaada wa hayo mabomu Msumbiji na Algeria!; Ile vita ingekuwa ni simulizi nyingine!😇😭
Hiyo Ilinikera Hadi Sasa kuichukia Russia....

Wapalestina wangetaka Amani na Yahudi wangeipata ya KUMWAGA!
Wameitaka vita wataipa ya KUMWAGA
Mungu WAO Yahudi Amewaagiza!
👇👇
דברים יט 20-21
20 וישמעו הנשארים ויפחדו ולא יעשו עוד רע כמו זה בקרבכם.

21 ועינך לא תרחם חיים לחיים עין בעין שן בשן יד ביד ורגל ברגל.
Kumbukumbu la Torati 19:20-21
20 Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

21 Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu..
 
"Kitu ambacho Vladimir Putin hajui ni kuwa kama sio mimi mambo mengi mabaya yangekuwa yameitokea Urusi, namaanisha MAMBO MABAYA. Anacheza na moto!

Donald J. Trump
Rais wa Marekani
Mei 27, 2025

========

"What Vladimir Putin doesn’t realize is that if it weren’t for me, lots of really bad things would have already happened to Russia, and I mean REALLY BAD. He’s playing with fire!" –President Donald J. Trump.
Putin anatishwa na vitendo sio maneno tu.
 
Back
Top Bottom