Russia alimuuzia Ndege vita iddi Amini!
Sisi alituuzia ant aircraft missile!
Tulipo ishiwa mabomu ya heat seeking missile's!; mrussi alikataa kutuuzia mabomu Hadi Kwa Hard cash au Mikataba migumu Kwa dhamana ya Mali Asili!
Huku Ndege vita za iddi Amini zinatamba Hadi Mwanza Visiwa vya Saa nane!
Lengo lake lilikuwa vita yetu na Uganda iwe Endelevu Ili auze silaha zake!
Kukosa Hekima ya J.K.Nyerere Kuomba msaada wa hayo mabomu Msumbiji na Algeria!; Ile vita ingekuwa ni simulizi nyingine![emoji56][emoji24]
Hiyo Ilinikera Hadi Sasa kuichukia Russia....
Wapalestina wangetaka Amani na Yahudi wangeipata ya KUMWAGA!
Wameitaka vita wataipa ya KUMWAGA
Mungu WAO Yahudi Amewaagiza!
[emoji116][emoji116]
דברים יט 20-21
20 וישמעו הנשארים ויפחדו ולא יעשו עוד רע כמו זה בקרבכם.
21 ועינך לא תרחם חיים לחיים עין בעין שן בשן יד ביד ורגל ברגל.
Kumbukumbu la Torati 19:20-21
20 Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.
21 Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu..