Donald Trump amwambia Rais wa Urusi, Vladimir Putin kuwa anacheza na moto

Hizo Sababu zako hazihalishi mauji kama Israel n jino Kwa jino na urusi nae ni jino Kwa jino, atutaki kelele kama tumeamua watu kuuwana bas wauane hakuna huruma za kinafik
 
Jihadists hata dikteta Assad pia walikuwa wakimpamba hivihivi lakini sasa hivi amebakia historia tu kwamba aliyekuwa rais wa Syria.

Ninachofahamu ni kwamba dikteta Putin hana mustakbali mwema huku tuendako.

It's only time that will tell.
 
We huna akili Syria unawafananisha na urusi, urusi ni tishio hakuna nchi ya ulaya unaweza pambana na urusi mwenyew hata wakiungana wote wataisha wao wote kabla ya urusi, urusi akiamua kumnyoosha mmoja WA NATO naamini hakuna hatakae ingilia maana itakua mwisho wa dunia
 
Mkutano wa rais trump na Zelesky may 2025 katika ofisi ya oval alimwita Rais Zelesky
1 anacheza na vita ya tatu ya Dunia
2 ni mtu asiye na adabu Wala shukrani
3 ni mtu asiyekuwa na nia ya dhati ya kumaliza mgogoro huu
Rais trump ni mtu asiyetabirika na hakuna aina ya maneno yanayofaa kumweleza wakati Anaongea haya aliamisha Dunia kuwa ràis wa urusi Hana shida 🗑️
 
Jihadists hata dikteta Assad pia walikuwa wakimpamba hivihivi lakini sasa hivi amebakia historia tu kwamba aliyekuwa rais wa Syria.

Ninachofahamu ni kwamba dikteta Putin hana mustakbali mwema huku tuendako.

It's only time that will tell.
Akili ndogo.yani Urusi ufananishe na Syria, hii akili au matope
 
Naona baada ya kupewa yale madini ya Ukraine anaanza kumkataa Mrusi, kweli US hana adui wala rafiki wa kudumu bali anamaslahi ya kudumu. Putin mwenye yeye sio muongeaji ni vitendo,utakavyo kuja ndivyo anavyo kupokea na anakubomoa haswa, Mercenaries wenyewe hii vita wanaogopa hata kupigana, maana Mrusi akipiga anaondoka na kijiji.
 
Okay, anawazidi Ulaya yote kasoro Ukraine tu na ndio maana ameshindwa kuiteka Ukraine na kupachika kibaraka wake kama alivyo mpachika dikteta Alexander Lukashenko pale Belarus.
 
Sio Russia, u have lied... [emoji1][emoji1]
 
Haya kwani USA alifanywaje kule VIETNAM? Nini alifanywa Afghanistan?Muulize Zayuni kwa msaada wa USA na NATO,kawapata mateka? Uwe na akili acha ukobazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…