Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Weka chanzo cha hii habari hapa tukihakiki.Tukisema USA ni taifa la chokochoko,dhulma,wivu na uonevu mnatuambia sisi tuna chuki na Marekani.
Rais wa USA Donald Trump anataka Rais kijana,mzalendo wa nchi yake,na mwenye uchungu na Afrika Cap Ibrahim Traole wa Bukina Faso akamatwe, kwa kileTrump anachodai eti Rais huyo anatumia akiba ya dhahabu ya Bukina Faso kujiimarisha.
Baada ya kusema hayo Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nae ameunga Mkoba takwa la Trump.
Ikumbukwe Ibrahim Traole aliitaka Ufaransa nchi isiyo na mgodi wowote wa dhahabu lkn Ina akiba kubwa sana ya dhahabu hapa duniani.
Ufaransa iliiba dhahabu nyingi sana kutoka Afrika na zaidi Bukina Faso.
Kauli ya kutaka dhahabu zirudishwe ilimuogofya sana Emmanuel Macron na Viongozi kadhaa wa West wakidhani huenda Viongozi wengine wa Afrika wakaamka na kuanza kudai madini Yao.
Hata hivyo nchi zenye mapenzi mema na Traole zimeonesha kutokubaliana na tamko la Trump.
Tusubiri tuone Nini kitatokea.
Weka chanzo cha hii habari hapa tukihakiki.
We niamini tu mwananguWeka chanzo cha hii habari hapa tukihakiki.
Manara TV.Source ?
You can talk openly, but be prepared to defend your points.hii kauli mbiu ya "where we dare to talk openly" kuna muda inatumika vibaya mno.
Tofautisha mambo.Tukisema USA ni taifa la chokochoko,dhulma,wivu na uonevu mnatuambia sisi tuna chuki na Marekani.
Rais wa USA Donald Trump anataka Rais kijana,mzalendo wa nchi yake,na mwenye uchungu na Afrika Cap Ibrahim Traole wa Bukina Faso akamatwe, kwa kileTrump anachodai eti Rais huyo anatumia akiba ya dhahabu ya Bukina Faso kujiimarisha.
Baada ya kusema hayo Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nae ameunga Mkoba takwa la Trump.
Ikumbukwe Ibrahim Traole aliitaka Ufaransa nchi isiyo na mgodi wowote wa dhahabu lkn Ina akiba kubwa sana ya dhahabu hapa duniani.
Ufaransa iliiba dhahabu nyingi sana kutoka Afrika na zaidi Bukina Faso.
Kauli ya kutaka dhahabu zirudishwe ilimuogofya sana Emmanuel Macron na Viongozi kadhaa wa West wakidhani huenda Viongozi wengine wa Afrika wakaamka na kuanza kudai madini Yao.
Hata hivyo nchi zenye mapenzi mema na Traole zimeonesha kutokubaliana na tamko la Trump.
Tusubiri tuone Nini kitatokea.
Niamini Mimi Bro.Source ?
Wewe ni niamini Mimi TuWeka chanzo cha hii habari hapa tukihakiki.
Soldiers only soldiersRais gani anatembea na bunduki kama mlinzi wa bank
USSR
YouTube · Afro PageWeka chanzo cha hii habari hapa tukihakiki.
Al JazeeraSource ?