Ndio Mkuu naomba tuijadili kama ilivyo.Hii ndiyo source yako pekee ya hii habari?
Sio wewe tu hata mashoga wenzako watafurahiaAkikamatwa Mimi nitafurahi mno.
Unasema hapana hii si source yako pekee, lakini hujatoa source nyingine.Hapana Mkuu wangu Kiranga.
Nakumbuka hata BBC walitangaza kua Urusi imeishiwq silaha na kua imabakiza silaha za miezi mitatu TU,lakini Leo ni mwaka wa Tatu.
Kwa maana hiyo hata wao sio chombo Cha kuaminika.
BBC walisema Putin anaumwa atakufa lakini Hadi Leo yupo TU,nadhani taarifa hiyo ilikua ya MI6 kama sikosei.
Kwa hiyo tusilaumu YouTube sisi wenyewe tupime TU.
Kweli kabisa Mkuu.BBC ni watu wa propaganda, walisema Russia imeishiwa silaha na inapigana kwa kutumia makoleo.
Ulisema hapana, sasa unasema ndiyo.Ndio Mkuu naomba tuijadili kama ilivyo.
Maana Hata BBC na baadhi ya western media nao wamekua walitoa taarifa hasi kwa Mataifa au watu wasiowapenda lkn ukiingia ndani unakuta sivyo.
Mfano wanatuambiaga north Korea ni nchi masikini lkn ukweli hakuna nchi masikini yenye uwezo kama wa north Korea kisayansi,kiteknolojia na kiuchumi.
Kama NK ingekua masikini isingeqeza kua na uwezo ule kijeshi.
Ni hayo TU Mkuu wangu Kiranga.
Kwa hiyo Kila chombo Cha habari kina mazuri na mapungufu yake.
Mkuu Kuna habari hua zinakua na source moja TU na zinakua na ukweli mia kwa mia.Unasema hapana hii si source yako pekee, lakini hujatoa source nyingine.
Source nyingine iko wapi?
Hii ni msela mmoja tu ka upload video Youtube, haina uzito, haijawa corroborated na sehemu nyingine yoyote.
Hujatoa source yoyote ya kueleweka ya habari yako.Mkuu Kuna habari hua zinakua na source moja TU na zinakua na ukweli mia kwa mia.
Mfano kama habari hizo zinazifurahisha nchi za Magharibi zitatangazwa na sources zote za west
Na kama habari hizo zinazichukiza nchi za west zitatangazwa na sources hata moja TU na sources nyingine zinaweza hata zikaogopa kutangaza.
Trust me broWeka chanzo cha hii habari hapa tukihakiki.
Natamani apigwe risasi nyingine ya kweli 😀 😀 😀 😀 😀 😀Tukisema USA ni taifa la chokochoko,dhulma,wivu na uonevu mnatuambia sisi tuna chuki na Marekani.
YouTube · Afro Page
4.7K+ views · 4 days ago
US Wants to Arrest Capt. Traoré for Trading Gold for Protection
Rais wa USA Donald Trump anataka Rais kijana,mzalendo wa nchi yake,na mwenye uchungu na Afrika Cap Ibrahim Traole wa Bukina Faso akamatwe, kwa kileTrump anachodai eti Rais huyo anatumia akiba ya dhahabu ya Bukina Faso kujiimarisha.
Baada ya kusema hayo Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nae ameunga Mkoba takwa la Trump.
Ikumbukwe Ibrahim Traole aliitaka Ufaransa nchi isiyo na mgodi wowote wa dhahabu lkn Ina akiba kubwa sana ya dhahabu hapa duniani.
Ufaransa iliiba dhahabu nyingi sana kutoka Afrika na zaidi Bukina Faso.
Kauli ya kutaka dhahabu zirudishwe ilimuogofya sana Emmanuel Macron na Viongozi kadhaa wa West wakidhani huenda Viongozi wengine wa Afrika wakaamka na kuanza kudai madini Yao.
Hata hivyo nchi zenye mapenzi mema na Traole zimeonesha kutokubaliana na tamko la Trump.
Tusubiri tuone Nini kitatokea.
Shocking new claims reveal the U.S. wants to arrest Capt. Ibrahim Traoré for allegedly trading gold in exchange for military protection deals! The Burkina Faso leader’s bold moves have sent shockwaves through global politics, raising major tensions. Is this about justice — or control over Africa’s resources? This unfolding story is heating up fast! Lets dive into US Wants to Arrest Capt. Traoré for Trading Gold for Protection
Shoga ni baba yako aliyekuzaa Malaya wa kike.Sio wewe tu hata mashoga wenzako watafurahia
Zamani jf ilikuwa hakuna mambo ya kiduanzi, labda kwa sisi wachache wa kufanya masihara.....lakini sasa Duuuh!hii kauli mbiu ya "where we dare to talk openly" kuna muda inatumika vibaya mno.
WAungwana halahala......Shoga ni baba yako aliyekuzaa Malaya wa kike.
Mimi sio Muislam,Bali ni muumini wa kanisa Takatifu Katoliki na la mitume.Hii taarifa ni ya uongo au imetokea masjid ubwabwa. Taarifa yoyote inayoipinga Marekani na chanzo chake hakieleweki waga mara nyingi inatokea masjid.
Hii story nilikuwa nawasimulia mimi hapa Buguruni Malapa kumbe mchizi ameileta huku.Wazee wa okota okota news 😹😹