Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
- Thread starter
- #61
Weka chanzo cha hii habari hapa tukihakiki.
Weka chanzo cha hii habari hapa tukihakiki.
Mkuu,
Inawezekana kabisa! Naanza kuhisi sisi wengi kwemye nch maskini hatujui kiongozi mzuri ni yupi...maana huyu dogo kuna watu wanasema yuko vema sana ila wengine wanasema ni hatari, kwamba ni kiongozi haijapata kutokea Africa yote iige!!! .alikuwepo wa kwetu nae kuna watu walidiriki kumfananisha na Mungu..ila wengine hawakutaka hata kumuona ..akaja Mama yetu wakasema afadhari mkombozi kaja..ila sasa wemgine wanasema M5 tena wengine hawataki kumsikia...eeehTofautisha mambo.
Marekani ilikuwa taifa bora siku za nyuma, ila marekani ya Trump ni takataka, pia, Ibra Traore sio kiongozi bora wala mzalendo, ni mhuni tu, kwa hiyo tofautisha mambo.
Mkuu,
Huyo Jenerali wa US hana jina? Habari imeandikwa wapi?
Yani unafanya TikTok video ya kutumia sauti ya AI isiyotoa source yoyote kuwa ndiyo source yako?
Wewe ni mtu mdogo sana hapa duniani,ni kama vile haupo TU.Akikamatwa Mimi nitafurahi mno.
Kazi kweli kweliTofautisha mambo.
Marekani ilikuwa taifa bora siku za nyuma, ila marekani ya Trump ni takataka, pia, Ibra Traore sio kiongozi bora wala mzalendo, ni mhuni tu, kwa hiyo tofautisha mambo.
Wewe ni mtu mdogo sana hapa duniani,ni kama vile haupo TU.
Ni sawasawa na kilo moja ya sukari uimwage baharini haibadilishi kitu.
Hebu angalia maandamano ya watu sehemu mbalimbali hapa duniani Hadi huko Paris na Washington wakipinga njama za kumuua za USA na France kutaka kumuua.
View: https://vm.tiktok.com/ZMBTM2bNj/
View: https://vm.tiktok.com/ZMBT6ev8Q/
General Michael Langley, U.S. Marine Corps
Huyu ni Mkuu wa kamand ya jeshi la USA Afrika
Hizo ni fix tu.Mimi sio Muislam,Bali ni muumini wa kanisa Takatifu Katoliki na la mitume.
Kipindi kile Cha kwanza Cha uraisi wake Trump alisema miafrica mijinga sana ukiwapa siraha wanauana wenyewe Kwa wenyeweAkikamatwa Mimi nitafurahi mno.
wewe si falaAkikamatwa Mimi nitafurahi mno.
Siwezi kuikana Imani yangu ya Ukatoliki kwa sababu yako wewe mtu ambae hunijui sikujui,wala huna madhara yoyote kwangu.Hizo ni fix tu.
Mkuu kwa heshima kubwa niliyonayo juu Yako naomba tufunge mjadala huu.Hujaonesha ushahidi huyo Jenerali kama hata kamtaja Traore.
Mkuu kwa heshima kubwa niliyonayo juu Yako naomba tufunge mjadala huu.
Mimi niliona taarifa hizo kwenye social media na nikaamua ku share na ninyi wenzangu.
Mimi sio mtaalam wa kuverify taarifa,hivyo naomba uipokee ki vyovyote vile.
Ukiona ni ya kweli sawa,na Ukiona sio ya kweli yote sawa.
Kwa sababu hata mashirika makubwa ya habari Kuna watu wanayaamini na Kuna wengine hawayaamini.
Ila naomba nukaache na clip hii
View: https://vm.tiktok.com/ZMBTQvt9P/
Hayo ni maoni yako tu yanayo shabihiana na imani yako na wewe ni nani unayeweza kuhukumu wengine huo ni uwendawazimu tu unafanya.Ukiona mtu anajiata ana DINI na anaamini uwepo wa mwenyezi Mungu , then ana support US + TRUMP ..basi imani yake ni MAIGIZO kwa hapa duniani