Donald Trump anataka Ibrahim Traole akamatwe,Macron aunga mkono

YouTube · Afro Page
4.7K+ views · 4 days ago
US Wants to Arrest Capt. Traoré for Trading Gold for Protection
Source yako ni hii Youtube video mkuu?

Kabisaa kabisaa ndiyo umejiridhisha hapo?
 
Kama ni kweli Viongozi wote wa Africa ni wakati wa kuionyesha Dunia kuwa katika hili, tunasema NO...!

Japo Viongozi wenyewe wakisema hivyo siwaoni.... Nimeona hii habari Kwa Black America wakizungumzia.
 
Japo Sina Uhakika wa hilo
Lakini Merekani ndio Adui namba Moja wa Hii Dunia na watu wake
 
Ha ha haa.
Umetisha Mwamba.

YouTube · Afro Page

US Wants to Arrest Capt. Traoré for Trading Gold for Protection
Hiyo Youtube video hujui kuweka link hapa au unafanya makusudi tu?
 
Nilisikiliza BBC huyo jamaa hakubariki, asilimia 60 zake,eneo jingine linatawaliwa na watu wengne.
 
YouTube · Afro Page
4.7K+ views · 4 days ago
US Wants to Arrest Capt. Traoré for Trading Gold for Protection
Comrade,
Ikopi link kutoka kwenye hiyo video kunako YouTube, halafu i paste hapa, itakuja video moja kwa moja.
 
Kashindwa kuiweka video hii hapa.

Wabongo mpaka leo wanaamini kila kitu cha kutoka Youtube?


View: https://youtu.be/pA918p0Bhf4?si=aywxGDC0L6y4khjM
Hapana Mkuu wangu Kiranga.
Nakumbuka hata BBC walitangaza kua Urusi imeishiwq silaha na kua imabakiza silaha za miezi mitatu TU,lakini Leo ni mwaka wa Tatu.
Kwa maana hiyo hata wao sio chombo Cha kuaminika.
BBC walisema Putin anaumwa atakufa lakini Hadi Leo yupo TU,nadhani taarifa hiyo ilikua ya MI6 kama sikosei.
Kwa hiyo tusilaumu YouTube sisi wenyewe tupime TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…