Donald Trump anataka Ibrahim Traole akamatwe,Macron aunga mkono

kama ni kweli basi safi sana, kwanza huyo traore ni muislamu, waislamu= communists, hata walileta evil communism tanzagiza …
 
Hii ndiyo source yako pekee ya hii habari?
Ndio Mkuu naomba tuijadili kama ilivyo.
Maana Hata BBC na baadhi ya western media nao wamekua walitoa taarifa hasi kwa Mataifa au watu wasiowapenda lkn ukiingia ndani unakuta sivyo.
Mfano wanatuambiaga north Korea ni nchi masikini lkn ukweli hakuna nchi masikini yenye uwezo kama wa north Korea kisayansi,kiteknolojia na kiuchumi.
Kama NK ingekua masikini isingeqeza kua na uwezo ule kijeshi.
Ni hayo TU Mkuu wangu Kiranga.
Kwa hiyo Kila chombo Cha habari kina mazuri na mapungufu yake.
 
Unasema hapana hii si source yako pekee, lakini hujatoa source nyingine.

Source nyingine iko wapi?

Hii ni msela mmoja tu ka upload video Youtube, haina uzito, haijawa corroborated na sehemu nyingine yoyote.
 
Ulisema hapana, sasa unasema ndiyo.

Ndiyo au hapana?
 
Unasema hapana hii si source yako pekee, lakini hujatoa source nyingine.

Source nyingine iko wapi?

Hii ni msela mmoja tu ka upload video Youtube, haina uzito, haijawa corroborated na sehemu nyingine yoyote.
Mkuu Kuna habari hua zinakua na source moja TU na zinakua na ukweli mia kwa mia.
Mfano kama habari hizo zinazifurahisha nchi za Magharibi zitatangazwa na sources zote za west
Na kama habari hizo zinazichukiza nchi za west zitatangazwa na sources hata moja TU na sources nyingine zinaweza hata zikaogopa kutangaza.
 
Hujatoa source yoyote ya kueleweka ya habari yako.
 
Natamani apigwe risasi nyingine ya kweli 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Sijui hii nimeiona wapi, lakini kuna mbunge marekani anayetaka kuwasilisha muswada wa kuifanya Serikali ikubali Dhahabu itumike kama Currency.

"Golden age"🤯
 
Hiyo habari ni kwamba jenerali wa AFRICOM aitwaye Michael Langley alimshutumu Ibrahim Traore mbele ya bunge la congress kwamba anatumia dhahabu ya Burkina Faso kujinufaisha yeye binafsi. Hiyo imetokea tu karibuni hata kwenye media za Marekani YouTube ukienda utaona. Yaani huyo Jenerali alimnanga sana Traore kiasi kwamba watu wamepata hasira. Kuanzia jana Twitter ilianzishwa hashtag ya " Hands off Burkina Faso" huku picha ya Michael Langley na ya Traore zikiunganishwa pamoja. Lakini Marekani lazima wamnange Traore maana kawafukuza Ufaransa na kujisogeza karibu na Urusi. Sio kwamba wanajali hiyo dhahabu ya Burkina Faso inatumikaje. Rais akiwa mwizi cha muhimu afate wanachotaka hutasikia wanamsema vibaya mfano Tinubu aliyeenda kukaa Ufaransa karibu mwezi kutafakari wakati nchini mwake magaidi wanachoma vijiji. Ndo hayo tu
 
hii kauli mbiu ya "where we dare to talk openly" kuna muda inatumika vibaya mno.
Zamani jf ilikuwa hakuna mambo ya kiduanzi, labda kwa sisi wachache wa kufanya masihara.....lakini sasa Duuuh!
DISCO limeingia Mmasai
 
Hii taarifa ni ya uongo au imetokea masjid ubwabwa. Taarifa yoyote inayoipinga Marekani na chanzo chake hakieleweki waga mara nyingi inatokea masjid.
 
Maandamano ya Waafrika katika nchi mbalimbali kupinga takwa la USA dhidi ya Traole.
 
Hii taarifa ni ya uongo au imetokea masjid ubwabwa. Taarifa yoyote inayoipinga Marekani na chanzo chake hakieleweki waga mara nyingi inatokea masjid.
Mimi sio Muislam,Bali ni muumini wa kanisa Takatifu Katoliki na la mitume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…