Donald Trump anatangaza Vita Rasmi dhidi ya LGBTQI+

Donald Trump anatangaza Vita Rasmi dhidi ya LGBTQI+

Hii naona Elon Musk amemwambia na ku -influence Trump aipiganie kwa nguvu zake zote. Elon ana hasira mtoto wale alizaliwa mwanaume (Xavier) anakapewa hormones blockers zimemsadia kuwa Transwoman (Vivian).

Elon amesema atapigana vita kuondoa hivyo vitu sababu anasema walimdanganya ili akatoa ruhusa mtoto wake apewe hayo madawa.

Aache uongo, Elon musk anadanganywaje na yeye ndo mwenye àkili nyingi duniani?
 
Ndugu zangu, Sauti ya Kimamlaka anayotumia Donald Trump, ni lazima ukubaliane namimi kua, Mungu aliyanusuru Maisha yake Kwa Kazi maalumu.

Jamaa hata hajaapishwa, lakini tayari kaanza Kazi mara Moja.

Wale mashoga na mnaounga mkono Ushoga, na shughuli zoooooote za upuuzi wa aina hiyo ikiwemo pamoja na Utoani Mimba kiholela, kubadili jinsia, Sasa mtahamia Ulaya, Kinara US kaamua kua Mfuasi wa YESU KRISTO, MUNGU ANAYEISHI.

View: https://www.youtube.com/live/uCKUaJawPco?si=4v7YfpXtOO0N4ltJ

Waziri Dkt. Gwajima D sio dhambi kujifunza Kwa walioamua Kumlinda mtoto .

Embu tuzipitie Child protection policies za Warusi na Wachina .

Kama haitotosha tujifunze Kwa US Sasa chini ya Trump, nadhan Ile Presha tunayoiogopea Sasa haipo.

Katika Kumlinda mtoto , na vita dhidi ya LGBT , tushirikiane sekta zote.

Niligusia hapa Wakati tunapambana na Unyanyasaji wa kimwili dhidi wa watoto, mkumbusheni Waziri Gwajima, watoto hawako salama Mitandaoni

Watanzania bhana... Video fake hyoo..
 
Aache uongo, Elon musk anadanganywaje na yeye ndo mwenye àkili nyingi duniani?
Elon anasema hakujua effects yake ya hizo hormones puberty blockers na walimwambia zitaokoa maisha ya mtoto wake, Elon anasema alikuwa kwenye hali ya kuchanganyikiwa wakati wa Covid na kuokoa maisha ya mtoto wake.

Mtoto wake anasema Baba yake ni muongo, alisoma hizo documents vizuri,mara nyingi tu. Wana bifu kubwa. Ukweli wanaujua yeye na mtoto wake.

I was essentially tricked into signing documents for one of my older boys," Musk told Peterson. "This was really before I had any understanding of what was going on, and we had COVID going on, so there was a lot of confusion and I was told (Musk's child) might commit suicide."

The SpaceX founder claimed the process is done to children "who are far below the age of consent" and said he agreed with Peterson's belief that anyone who promotes the practice should go to prison.
I was tricked into doing this, I lost my son, essentially.

Musk went on to say that the experience set him on a mission.

"I vowed to destroy the woke mind virus after that," Musk said. "And we’re making some progress."

Ndugu zangu, Sauti ya Kimamlaka anayotumia Donald Trump, ni lazima ukubaliane namimi kua, Mungu aliyanusuru Maisha yake Kwa Kazi maalumu.

Jamaa hata hajaapishwa, lakini tayari kaanza Kazi mara Moja.

Wale mashoga na mnaounga mkono Ushoga, na shughuli zoooooote za upuuzi wa aina hiyo ikiwemo pamoja na Utoani Mimba kiholela, kubadili jinsia, Sasa mtahamia Ulaya, Kinara US kaamua kua Mfuasi wa YESU KRISTO, MUNGU ANAYEISHI.

View: https://www.youtube.com/live/uCKUaJawPco?si=4v7YfpXtOO0N4ltJ

Waziri Dkt. Gwajima D sio dhambi kujifunza Kwa walioamua Kumlinda mtoto .

Embu tuzipitie Child protection policies za Warusi na Wachina .

Kama haitotosha tujifunze Kwa US Sasa chini ya Trump, nadhan Ile Presha tunayoiogopea Sasa haipo.

Katika Kumlinda mtoto , na vita dhidi ya LGBT , tushirikiane sekta zote.

Niligusia hapa Wakati tunapambana na Unyanyasaji wa kimwili dhidi wa watoto, mkumbusheni Waziri Gwajima, watoto hawako salama Mitandaoni

Nafikiri WaTz hatujafika huko.
 
Na aliwaambia Wamarekani na kwingineko kwamba duniani jinsia ziko mbili tu;WANAUME NA WANAWAKE
 
Safi sana Donald...........nimeona X huko,huyu jamaa hapendwi kwasababu ni mcha Mungu na anasema ukweli kwa lugha ngumu tena ya kuudhi...........
Hahaha eti mcha Mungu, Anasali kanisa gani au msikiti gani?
 
Hahaha eti mcha Mungu, Anasali kanisa gani au msikiti gani?
Unadhani mtu anayeshinda Kanisani au msikitini ndiyo mcha Mungu, unaweza kuwa una imani yako ya kwenye mapango huko,lakini matendo yako yakawa yanaakisi wema,upendo na yale yote mambo mazuri yanayompendeza Mungu na yanahubiriwa kila siku kwenye hizo dini unazozijua ww.Matendo mema ndiyo taswira ya mcha Mungu
 
Hivyo Trump ana matendo mema?
 
Mabunge yote mawili ya Marekan, kashinda Republicans .

Kuna kitu kikubwaaa kinaenda kutokea Duniani
 
Huyu anajaribu kuirudisha dunia kutoka shimoni.Maana sijawahigi kuelewa sababu kubwa ya kutumia nguvu nyingi sana kwenye kupromote agenda ya LGBTQ. Bado sijajua business model yake imekaeje.Yaani nani nafaidika na anafaidikaje na hili.
hii ya LGBTQI ni mipango ya kuzimu. shetani ndiye mfaidika. usisahau ibilisi anatafuta wafuasi ambao atakwenda nao kwenye ziwa la moto. (maana tayari yeye keshahukumiwa)
 
Back
Top Bottom