Utumwa ni mfumo unaombagua mtu kutokana na rangi yake. Ukoloni ni nchi moja ku- dominate nyingine kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni.
Mnaambiwa mkubali LGBT, uuze kampuni zote muhimu kama Bandari, mbuga, madini, kuua au kuwaondoa viongozi wa nchi fulani nk. Sasa hivi hadi lugha, uvaaji nguo, chakula, muziki, vyombo vya habari, movies, unachoaangalia kwenye internet, elimu vyote, mikopo na mashari ya mikopo, mfumo wa siasa, ubinafshaji wa sekta zote muhimu na ubinafsi kwenye jamii vingi hivi vimeletwa kwetu na Mkoloni wa sasa, Empire ya sasa duniani.
Walikomeshaje utumwa na ukoloni?