Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Ndugu zangu, Sauti ya Kimamlaka anayotumia Donald Trump, ni lazima ukubaliane namimi kua, Mungu aliyanusuru Maisha yake Kwa Kazi maalumu.
Jamaa hata hajaapishwa, lakini tayari kaanza Kazi mara Moja.
Wale mashoga na mnaounga mkono Ushoga, na shughuli zoooooote za upuuzi wa aina hiyo ikiwemo pamoja na Utoani Mimba kiholela, kubadili jinsia, Sasa mtahamia Ulaya, Kinara US kaamua kua Mfuasi wa YESU KRISTO, MUNGU ANAYEISHI.
View: https://www.youtube.com/live/uCKUaJawPco?si=4v7YfpXtOO0N4ltJ
Waziri Dkt. Gwajima D sio dhambi kujifunza Kwa walioamua Kumlinda mtoto .
Embu tuzipitie Child protection policies za Warusi na Wachina .
Kama haitotosha tujifunze Kwa US Sasa chini ya Trump, nadhan Ile Presha tunayoiogopea Sasa haipo.
Katika Kumlinda mtoto , na vita dhidi ya LGBT , tushirikiane sekta zote.
Niligusia hapa Wakati tunapambana na Unyanyasaji wa kimwili dhidi wa watoto, mkumbusheni Waziri Gwajima, watoto hawako salama Mitandaoni
Ndo maana tuliomba Mungu amwingize kazini !
Na ndo maana walitaka kumuua!
Tulishajua na ilikuwa vita haswa ,lkn kanisa la Mungu km mwili wa Kristo bila kujali dhehebu baada ya kuliitia jina la Bwana akafanya!
The body of Christ wins 💪....we acknowledge God for that!
Kwahiyo tulikuwa tunajua nn tunafanya ,na mamlaka ya Mungu akiye hai itamsaidia !