Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
- #21
Mungu anaendelea kushinda 👌👌👌👌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAGUMU MNADUMUAtafia madarakani
Mkuu lazima tukubali ni TRUMP, hata republicans Kuna watu walimpinga Trump Kwa kusimamia hizo hizo sera.Sio Trump hizo ni Sera za Wana Republican
Sio kweli, TRUMP ndio mgombea pekee alosimama na kujielezea waziwazi, wakati ule wakutafuta Kura za kuwakilisha chama.Sera za Republicans hizo..
Watakuja kwakoDah sasa waarabu walokuwa wanakimbilia USA ili wakaf!rane wataenda wapi sasa?
Aaah, kumbe watakuja kwako.Watakuja kwako
Sio kweli, TRUMP ndio mgombea pekee alosimama na kujielezea waziwazi, wakati ule wakutafuta Kura za kuwakilisha chama.
Nadhan km ulifatilia Kampenzi za US tangu mwanzo, Hilo halina ubishii.
Big Pharm companies na Hospitals.Huyu anajaribu kuirudisha dunia kutoka shimoni.Maana sijawahigi kuelewa sababu kubwa ya kutumia nguvu nyingi sana kwenye kupromote agenda ya LGBTQ. Bado sijajua business model yake imekaeje.Yaani nani nafaidika na anafaidikaje na hili.
Ndugu zangu, Sauti ya Kimamlaka anayotumia Donald Trump, ni lazima ukubaliane namimi kua, Mungu aliyanusuru Maisha yake Kwa Kazi maalumu.
Jamaa hata hajaapishwa, lakini tayari kaanza Kazi mara Moja.
Wale mashoga na mnaounga mkono Ushoga, na shughuli zoooooote za upuuzi wa aina hiyo ikiwemo pamoja na Utoani Mimba kiholela, kubadili jinsia, Sasa mtahamia Ulaya, Kinara US kaamua kua Mfuasi wa YESU KRISTO, MUNGU ANAYEISHI.
View: https://www.youtube.com/live/uCKUaJawPco?si=4v7YfpXtOO0N4ltJ
Waziri Dkt. Gwajima D sio dhambi kujifunza Kwa walioamua Kumlinda mtoto .
Embu tuzipitie Child protection policies za Warusi na Wachina .
Kama haitotosha tujifunze Kwa US Sasa chini ya Trump, nadhan Ile Presha tunayoiogopea Sasa haipo.
Katika Kumlinda mtoto , na vita dhidi ya LGBT , tushirikiane sekta zote.
Niligusia hapa Wakati tunapambana na Unyanyasaji wa kimwili dhidi wa watoto, mkumbusheni Waziri Gwajima, watoto hawako salama Mitandaoni