Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Mimi nazungumzia "scenario" kwamba ikiwa Dolad Trump atahukumiwa itakuwaje kuhusiana na kampeni ya uchaguzi wa November na hapohapo kutekeleza jukumu la mahakama kuzingatia sheria kufuata mkondo wake.So?
Huyo jaji hawezi tu kujitungia hukumu zake anazotaka yeye.
Kuna miongozo ya kisheria.
Licha ya hivyo, ngoma bado mbichi na ikibidi itaenda mpaka kwenye mahakama ya upeo.
Pia kwa wazee wa baraza kufikia uamuzi wa kwamba Trump ana hatia ya mashtaka yote 34 hiyo yatoa mwanya kwa upande wa Trump kukata rufaa ambayo yaweza kushinda.
Ni ukweli usofichika kwamba hii kesi ina mkono wa kisiasa.