Mimi nazungumzia "scenario" kwamba ikiwa Dolad Trump atahukumiwa itakuwaje kuhusiana na kampeni ya uchaguzi wa November na hapohapo kutekeleza jukumu la mahakama kuzingatia sheria kufuata mkondo wake.So?
Huyo jaji hawezi tu kujitungia hukumu zake anazotaka yeye.
Kuna miongozo ya kisheria.
Licha ya hivyo, ngoma bado mbichi na ikibidi itaenda mpaka kwenye mahakama ya upeo.
Trump hakuonewa kabisa na wala siy hisia; ni sheria imetumika kama kawaida. Kumbuka kuwa makosa haya haya yamesababisha watu wengine wafungwe jela kabisa.Sipendi uonevu wa aina yoyote ile.
My sense of justice is clearly far superior to yours.
Mimi hata watu nisiowapenda, nikiona wanaonewa, nitasema.
Wewe inaonekana uko tofauti.
Simpendi Nape. Lakini aliponyanyaswa kwa kunyooshewa bastola, nilikipinga hicho kitendo.
Nimepinga mara nyingi sana viongozi wa upinzani Tanzania kubambikiwa kesi uchwara.
Mimi niko hivyo. Ni mpenda haki.
Wewe uko tofauti. Unasukumwa na hisia za kinazi.
Nitaendelea kuwa hivi nilivyo. Yeyote atakayeonewa, hata kama ni adui yangu, sitounga mkono uonevu huo.
Haki ni haki tu.
Donald Trump apatikana na hatia katika kesi ya kumlipa mwanamke aliyetembea naye asitoe siri
Hii ni kesi uchwara.Mimi nazungumzia "scenario" kwamba ikiwa Dolad Trump atahukumiwa itakuwaje kuhusiana na kampeni ya uchaguzi wa November na hapohapo kutekeleza jukumu la mahakama kuzingatia sheria kufuata mkondo wake.
Pia kwa wazee wa baraza kufikia uamuzi wa kwamba Trump ana hatia ya mashtaka yote 34 hiyo yatoa mwanya kwa upande wa Trump kukata rufaa ambayo yaweza kushinda.
Ni ukweli usofichika kwamba hii kesi ina mkono wa kisiasa.
Donald Trump apatikana na hatia ya kughushi nyaraka.Badili kichwa cha habari, usitulishe matango pori
Kumlipa mtu asitoe siri yako ya kulala nae sio kesi mahala popote duniani
Hakuna sheria za Manhattan 🤣.Trump ameshakutwa na hatia. Hivyo, anasubiri kusomewa hukumu July.
Sheria za Manhattan zipoje? Atakata rufaa kabla ya hukumu au hata kesho?
Tunaombeni maarifa Wakuu..
TOA ufafanuzi Banana Republic ndio Nani?Hakuna sheria za Manhattan 🤣.
Wengi mnaochangia hapa hata hamna uelewa mdogo wa mambo ya msingi.
Kwa kumkuta na hatia kwa mashtaka yote 34, hiyo yatoa mwanya kwa mawakili wake kukata rufaa ambayo yaweza kupunguza hatua hizo na kisha hukumu nzima kuangaliwa upya.Trump ameshakutwa na hatia. Hivyo, anasubiri kusomewa hukumu July.
Sheria za Manhattan zipoje? Atakata rufaa kabla ya hukumu au hata kesho?
Tunaombeni maarifa Wakuu..
Lakini ukumbuke kwamba kesi hii na kukutwa na hatia kisha hukumu hakutamzuia Donald Trump kugombea uraisi kwenye uchaguzi mwezi Novemba.Trump ana mengi tu ya siri na hili ni moja tu. Tusisahau sheria haingalii wewe ni nani. Uzurinwa sheria kama uou have a clean hand kwa wenzetu hujulikana tu, ni suala la muda.
Weye umefahamu vipi uwezo wa hao wengi kwamba wana uelewa mdogo wa mambo ya msingi?Hakuna sheria za Manhattan 🤣.
Wengi mnaochangia hapa hata hamna uelewa mdogo wa mambo ya msingi.
You really believe that? Ila Marekani safari hii wako between a rock and a hard place, mchague Trump mhalifu, au Biden muungaji mkono mauaji Gaza. Wengi hawatapiga kura kwa sababu wataona ni choice between two devils you know.
Mkuu, hii kesi leo wazee wa baraza wamemtia hatiani Donald Trump kwa makosa yote 34 ya kughushi nyaraka kuhusiana na pesa alozitoa kwa yule mwanamke zinoitwa "Hush Money".Tatizo kubwa la Trump ni majivuno na kiburi chake.
Kilichomponza Trump ni ego yake. Kosa la kwanza la kumlipa mwanamke afiche siri siyo siyo crime, linakuwa crime tu kama lilifanyika ili kuficha kosa jingine. Sasa hapo kwenye ufichaji wa kosa jingine ndipo ego ya trump ilipompoza kwani iliwezekana kabisa kumlipa bila kuhusisha na uchaguzi ila akagtumia njia za kuwadharau waliokuwa wanamsaidia, na ndio waliomtosa.
Ukifuatia kosa la documents liliko mahakama ya Miami, nayo utagundua pia kuwa ni ego yake ndiyo iliyomletea matatizo. Idara ya kumbukumbu ilimwomba makaratasi matatu tu: (a) Barua aliyoachiwa na Obama (b) Barua aliyoandikiwa na Kim Jong Il (c) ramani iliyokuwa inatumika kuonyesha njia ya Hurricane Dorian. Lakini yeye kwa ego yake akawasumbua kwa zaidi ya mwaka mzima mpaka wakatumia amri ya mahakama na mwishowe kuvamia nyumbani kwa na kukuta document nyingi za serikali ambazo hakutakiwa kuwa nazo ambazo alikuwa anajitahidi sana kuzificha.
Baada ya kujikuta kuwa kosa lake dogo la ego limezaa tatizo kubwa kisheria, yeye anageuza kuwa la kisiasa na majuzi tu anasema kuwa Biden aliamuru FBI watumie deadly force kumkamata na kusahahu kuwa issue ilikuwa ni idara ya nyaraka za serikali.
Kwanini alitaka Ku rig uchaguzi aliyoshindwaI hope it backfires on them big time in November.
1. He is not going to jail.
2. He is still running for president [and now I’m voting for him].
Unaumiza kichwa bure wengi wako brainwashed na bbc, ukiangalia taarifa za habari lazima uwe walking zombie,The World Need Trump Now for better future.Hakuna sheria za Manhattan 🤣.
Wengi mnaochangia hapa hata hamna uelewa mdogo wa mambo ya msingi.
Lakini, miongoni mwa principles muhimu za demokrasia ni pamoja na Rule of Law. Hakuna aliye juu ya sheria.Demokrasia ya Marekani ishakufa.
Marekani hawana tena uhalali wa kuzikoromea nchi zingine kuhusu demokrasia.