Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Trump bana anapendaga kutoka inje ya mada. Kuna yule dada mtangazaji baada ya kumhoji yeye anamsifia ni mzuriRais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai:
"Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri namna hii, wapi? Ulisoma wapi? Liberia?," alihoji.
Trump amewakaribisha viongozi kutoka Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa ajili ya majadiliano na chakula cha mchana Ikulu ya White House Jumatano hii, ambapo mazungumzo hayo yanalenga fursa za kibiashara.
Nadhani alikua anamkebehi kua ana accent ya kimarekani kitu ambacho sio kigeni kwa waLiberiaTrump kakosa cha kusema,nimesikiliza mara 30 huo uzuri sijauona,labda kama hapo nilipoanzia Mimi sio sehemu ya chanzo cha hizo sifa
Dharau hizo Sasa.Rais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai:
"Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri namna hii, wapi? Ulisoma wapi? Liberia?," alihoji.
Trump amewakaribisha viongozi kutoka Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa ajili ya majadiliano na chakula cha mchana Ikulu ya White House Jumatano hii, ambapo mazungumzo hayo yanalenga fursa za kibiashara.
Mwacheni huyu Mzee apumzikeMagufuli angetutia aibu ya mwaka hapo
Kebehi kabisa hizo..Ina maana hajui kua Liberia ilikua Koloni la Marekani? hajui kama watu wa Liberia wanazungumza Kiingereza cha kimarekani? kumuuliza amesomea wapi ni ujinga pia
Ukiwa unajua kiingereza watakusifia sana,ukiwa unajua kutengeza nuke,kuboresha uchumi wako,kiasi cha fuel kuuzwa bei ndogo kuliko maji kama IRAN,ukianza kuzitumia rasilimali zako effectively 100% unazimiliki kama Afghanistan,unakua ADUI.................kusifiana ujinga tuRais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai:
"Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri namna hii, wapi? Ulisoma wapi? Liberia?," alihoji.
Trump amewakaribisha viongozi kutoka Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa ajili ya majadiliano na chakula cha mchana Ikulu ya White House Jumatano hii, ambapo mazungumzo hayo yanalenga fursa za kibiashara.
Sijui marekani walipataje raisi arrogant na asiyekuwa na upeo namna hiiRais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai:
"Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri namna hii, wapi? Ulisoma wapi? Liberia?," alihoji.
Trump amewakaribisha viongozi kutoka Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa ajili ya majadiliano na chakula cha mchana Ikulu ya White House Jumatano hii, ambapo mazungumzo hayo yanalenga fursa za kibiashara.
Liberia si Hadi bendera Yao ya marekani copy and paste??Lugha ya taifa kingereza,.lafudhi Yao ya marekani sababu karne maelfu ya wamarekani weusi walisema tunaenda Africa kuanzisha taifa letu,wakahamia LiberiaNadhani alikua anamkebehi kua ana accent ya kimarekani kitu ambacho sio kigeni kwa waLiberia