Donald Trump ashangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai

Donald Trump ashangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai

Sasa hao marais wanaoongea kifaransa ina maana hawajui kiingereza? Mpaka wanakuwa marais kwa nini wasijifunze kuongea kiingereza wakati ni lugha kuu ya dunia?
 
Sasa hao marais wanaoongea kifaransa ina maana hawajui kiingereza? Mpaka wanakuwa marais kwa nini wasijifunze kuongea kiingereza wakati ni lugha kuu ya dunia?
 
Africa has produced five Nobel Laureates in Literature, each with a distinct voice and contribution to world literature. Here they are:

1. Wole Soyinka (Nigeria)​

  • Awarded: 1986
  • Notable as: The first African to win the Nobel Prize in Literature.
  • Language: English
  • Known for: Plays, essays, and poetry that combine Yoruba mythology, Western forms, and social critique.
  • Notable works:
    • Death and the King’s Horseman
    • The Man Died
    • Ake: The Years of Childhood

2. Naguib Mahfouz (Egypt)​

  • Awarded: 1988
  • Language: Arabic
  • Known for: His Cairo Trilogy and portrayal of Egyptian society over time.
  • Notable works:
    • Palace Walk
    • Palace of Desire
    • Sugar Street
    • Children of the Alley

3. Nadine Gordimer (South Africa)​

  • Awarded: 1991
  • Language: English
  • Known for: Writing against apartheid and exploring moral and racial tensions.
  • Notable works:
    • Burger’s Daughter
    • July’s People
    • The Conservationist

4. J.M. Coetzee (South Africa)​

  • Awarded: 2003
  • Language: English
  • Known for: Stark, philosophical novels exploring identity, justice, and oppression.
  • Notable works:
    • Disgrace
    • Waiting for the Barbarians
    • Life & Times of Michael K

5. Abdulrazak Gurnah (Tanzania)​

  • Awarded: 2021
  • Language: English
  • Known for: Exploring colonialism, displacement, and the refugee experience.
  • Notable works:
    • Paradise
    • By the Sea
    • Afterlives
 
Aibu ya vipi mbona yeye hajui lugha ya Afrika kwani haiwezekani kuwa na Elimu bila kujuwa kiingereza.
Kama kuna hoja sijui swali ambalo limefafanuliwa kwa kina humu JF ni hili ulilouliza na sijui kwanini baadhi hamtaki kuelewa.

Iko hivi, profesa wa kichina, kijerumani, kijapan, Saudi Arabia, kifaransa, kireno waliosomea PhD zao katika mataifa hayo kutojua kiingereza is absolutely normal wala hakuna ajabu.

Profesa aliyesomea PhD yake Kenya, Uganda, Zambia, Zimbabwe, Malawi, etc kiingereza kumpa shida ni ajabu sana maana medium of instruction katika nchi hizo ni absolutely English! Hope imeeleweka.
 
Rais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai:

"Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri namna hii, wapi? Ulisoma wapi? Liberia?," alihoji.

Trump amewakaribisha viongozi kutoka Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa ajili ya majadiliano na chakula cha mchana Ikulu ya White House Jumatano hii, ambapo mazungumzo hayo yanalenga fursa za kibiashara.

Angemuambia am the one of descendent of Negro who choose to immigrate back to Africa long fucken years ago, US and UK deported to new country named Liberia American in Africa. na angemuambia if you see our country flag indeed you will be confused with the one you have on your Beast car.

Baby Born to Man Who Was a Woman, Who Got Pregnant By Woman Who was a Man
 
Kwa sisi tuliosomea Cuba tunafahamu vizuri kwamba lile lilikuwa dongo kwa wale viongozi wengine waliotumia muda uliobaki kuongea vifaransa vyao, mpaka alipowastopisha kwa kisingizio cha muda mchache wa maongezi uliobaki.

Unawambiaje watu eti umebaki na muda mchache wa maongezi, na wakati umewaalika kwako wewe mwenyewe!

Trump huwa hapendi kusikia lugha nyingine kinyume na English, ndio maana kipindi kile cha operation ya kwanza ya wahamiaji haramu nchini kwake aliwahi kusema kuwa lugha ya Marekani ni English tu na sio Hispanish wala lugha nyingine yoyote. Lengo likiwa mtu yeyote anaeongea Hispanish aonekane ni mhamiaji haramu kutokea Mexico, Venezuela na nchi nyingine za Amerika ya Kusini.

Alisema hivyo huku akifahamu fika kuwa Marekani kuna wamarekani wenye asili ya Mexico, haswa katika majimbo yaliopo mpakani na Mexico wanaongea ki hispanish kama lugha yao mama.

Ukiangalia raisi wa Liberia aliongea English ya kawaida sana, ila kwa vile alikuwa na lake jambo kwa waongea French, basi akaamua kutumia English cha raisi wa Liberia kama kichaka cha kutaka na wengine wakajifunze English, ili wakiwa wanaenda White House waende wakaongea English wasifiwe kama mwenzao.

Angalia Ilipofika tu zamu ya waongea kifaransa. Trump hakutaka kutumia muda kuwasikiliza au kuvaa lile dude masikioni.. alichofanya aliomba tu majina yao na nchi wanazotoka, na kuwaambia nashukuru kwa kuja kwenu.

Jamaa hakupenda kuendelea kusikiliza french akaomba mkutano uishe haraka haraka kwa lengo la kukwepa kusikiliza kifaransa muda mrefu 🤣🤣🤣🤣
Mkuu umemfafanunua vyema sana bwana DT 😁
 
Trump ni kichaa aisay anaongoza nchi hajui hata history za nchi hizo hivi Liberia wana ongea lugha gani zaidi ya kizungu
 
Kwa sisi tuliosomea Cuba tunafahamu vizuri kwamba lile lilikuwa dongo kwa wale viongozi wengine waliotumia muda uliobaki kuongea vifaransa vyao, mpaka alipowastopisha kwa kisingizio cha muda mchache wa maongezi uliobaki.

Unawambiaje watu eti umebaki na muda mchache wa maongezi, na wakati umewaalika kwako wewe mwenyewe!

Trump huwa hapendi kusikia lugha nyingine kinyume na English, ndio maana kipindi kile cha operation ya kwanza ya wahamiaji haramu nchini kwake aliwahi kusema kuwa lugha ya Marekani ni English tu na sio Hispanish wala lugha nyingine yoyote. Lengo likiwa mtu yeyote anaeongea Hispanish aonekane ni mhamiaji haramu kutokea Mexico, Venezuela na nchi nyingine za Amerika ya Kusini.

Alisema hivyo huku akifahamu fika kuwa Marekani kuna wamarekani wenye asili ya Mexico, haswa katika majimbo yaliopo mpakani na Mexico wanaongea ki hispanish kama lugha yao mama.

Ukiangalia raisi wa Liberia aliongea English ya kawaida sana, ila kwa vile alikuwa na lake jambo kwa waongea French, basi akaamua kutumia English cha raisi wa Liberia kama kichaka cha kutaka na wengine wakajifunze English, ili wakiwa wanaenda White House waende wakaongea English wasifiwe kama mwenzao.

Angalia Ilipofika tu zamu ya waongea kifaransa. Trump hakutaka kutumia muda kuwasikiliza au kuvaa lile dude masikioni.. alichofanya aliomba tu majina yao na nchi wanazotoka, na kuwaambia nashukuru kwa kuja kwenu.

Jamaa hakupenda kuendelea kusikiliza french akaomba mkutano uishe haraka haraka kwa lengo la kukwepa kusikiliza kifaransa muda mrefu 🤣🤣🤣🤣
Trump amesaini mpaka Executive Order hivi Juzi juzi kuifanya Englisha kuwa official language Kwa US
 
Kwa hiyo kingereza kizuri ni kile chenye accent ya kimarekani ? la hasha, Trump angemwambia you are speaking a good American accent that's could be make sense. Otherwise hata Marais kama HH wa Zambia, Ruto wa Kenya ,Ramaphosa wa madiba na wengine lukuki as for me are good English speakers .
 
Trump alidhani Joseph Boikai kasomea Marekani ili amsimange vizuri ila ndio kaaambiwa nilisomea Liberia kaishia kumsifia tu 😂🫵🏽
 
Rais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai:

"Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri namna hii, wapi? Ulisoma wapi? Liberia?," alihoji.

Trump amewakaribisha viongozi kutoka Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa ajili ya majadiliano na chakula cha mchana Ikulu ya White House Jumatano hii, ambapo mazungumzo hayo yanalenga fursa za kibiashara.

Siyo suala la kushangaa kwa sababu kwa zaidi ya karne Waliberia wengi wamekuwa wakizungumza Kiingereza kama lugha ya kuzaliwa miongoni mwa nchi za Kiafrika.

Trump amesahau Historia. Liberia ni nchi iliyotokana na watumwa walioamua kurudi Afrika miaka ya 1800 kutoka Amerika ambapo Black Americanshao walipofika Liberia wakawa tabaka tawala.

Liberia imekuwa na mfungamano na Wamarekani kwa miaka mingi.
 
Back
Top Bottom