Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Magu asingekusanywa kiboyaboya hivyo!Magufuli angetutia aibu ya mwaka hapo
Mzee alikuwa kiburi aisee.
Magu asingekusanywa kiboyaboya hivyo!Magufuli angetutia aibu ya mwaka hapo
Wanaume wanapigania mali zao,wapumbavu wanauziwa mafuta ya upako Ili wawe matajiriAcha ugaidi
Kama kuna hoja sijui swali ambalo limefafanuliwa kwa kina humu JF ni hili ulilouliza na sijui kwanini baadhi hamtaki kuelewa.Aibu ya vipi mbona yeye hajui lugha ya Afrika kwani haiwezekani kuwa na Elimu bila kujuwa kiingereza.
Fonti fenti😎Magufuli angetutia aibu ya mwaka hapo
Angemuambia am the one of descendent of Negro who choose to immigrate back to Africa long fucken years ago, US and UK deported to new country named Liberia American in Africa. na angemuambia if you see our country flag indeed you will be confused with the one you have on your Beast car.Rais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai:
"Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri namna hii, wapi? Ulisoma wapi? Liberia?," alihoji.
Trump amewakaribisha viongozi kutoka Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa ajili ya majadiliano na chakula cha mchana Ikulu ya White House Jumatano hii, ambapo mazungumzo hayo yanalenga fursa za kibiashara.

Mkuu umemfafanunua vyema sana bwana DT 😁Kwa sisi tuliosomea Cuba tunafahamu vizuri kwamba lile lilikuwa dongo kwa wale viongozi wengine waliotumia muda uliobaki kuongea vifaransa vyao, mpaka alipowastopisha kwa kisingizio cha muda mchache wa maongezi uliobaki.
Unawambiaje watu eti umebaki na muda mchache wa maongezi, na wakati umewaalika kwako wewe mwenyewe!
Trump huwa hapendi kusikia lugha nyingine kinyume na English, ndio maana kipindi kile cha operation ya kwanza ya wahamiaji haramu nchini kwake aliwahi kusema kuwa lugha ya Marekani ni English tu na sio Hispanish wala lugha nyingine yoyote. Lengo likiwa mtu yeyote anaeongea Hispanish aonekane ni mhamiaji haramu kutokea Mexico, Venezuela na nchi nyingine za Amerika ya Kusini.
Alisema hivyo huku akifahamu fika kuwa Marekani kuna wamarekani wenye asili ya Mexico, haswa katika majimbo yaliopo mpakani na Mexico wanaongea ki hispanish kama lugha yao mama.
Ukiangalia raisi wa Liberia aliongea English ya kawaida sana, ila kwa vile alikuwa na lake jambo kwa waongea French, basi akaamua kutumia English cha raisi wa Liberia kama kichaka cha kutaka na wengine wakajifunze English, ili wakiwa wanaenda White House waende wakaongea English wasifiwe kama mwenzao.
Angalia Ilipofika tu zamu ya waongea kifaransa. Trump hakutaka kutumia muda kuwasikiliza au kuvaa lile dude masikioni.. alichofanya aliomba tu majina yao na nchi wanazotoka, na kuwaambia nashukuru kwa kuja kwenu.
Jamaa hakupenda kuendelea kusikiliza french akaomba mkutano uishe haraka haraka kwa lengo la kukwepa kusikiliza kifaransa muda mrefu 🤣🤣🤣🤣
Kweli mkuu, nlichoandika ndio ukweli wenyewe.Mkuu umemfafanunua vyema sana bwana DT 😁
Trump amesaini mpaka Executive Order hivi Juzi juzi kuifanya Englisha kuwa official language Kwa USKwa sisi tuliosomea Cuba tunafahamu vizuri kwamba lile lilikuwa dongo kwa wale viongozi wengine waliotumia muda uliobaki kuongea vifaransa vyao, mpaka alipowastopisha kwa kisingizio cha muda mchache wa maongezi uliobaki.
Unawambiaje watu eti umebaki na muda mchache wa maongezi, na wakati umewaalika kwako wewe mwenyewe!
Trump huwa hapendi kusikia lugha nyingine kinyume na English, ndio maana kipindi kile cha operation ya kwanza ya wahamiaji haramu nchini kwake aliwahi kusema kuwa lugha ya Marekani ni English tu na sio Hispanish wala lugha nyingine yoyote. Lengo likiwa mtu yeyote anaeongea Hispanish aonekane ni mhamiaji haramu kutokea Mexico, Venezuela na nchi nyingine za Amerika ya Kusini.
Alisema hivyo huku akifahamu fika kuwa Marekani kuna wamarekani wenye asili ya Mexico, haswa katika majimbo yaliopo mpakani na Mexico wanaongea ki hispanish kama lugha yao mama.
Ukiangalia raisi wa Liberia aliongea English ya kawaida sana, ila kwa vile alikuwa na lake jambo kwa waongea French, basi akaamua kutumia English cha raisi wa Liberia kama kichaka cha kutaka na wengine wakajifunze English, ili wakiwa wanaenda White House waende wakaongea English wasifiwe kama mwenzao.
Angalia Ilipofika tu zamu ya waongea kifaransa. Trump hakutaka kutumia muda kuwasikiliza au kuvaa lile dude masikioni.. alichofanya aliomba tu majina yao na nchi wanazotoka, na kuwaambia nashukuru kwa kuja kwenu.
Jamaa hakupenda kuendelea kusikiliza french akaomba mkutano uishe haraka haraka kwa lengo la kukwepa kusikiliza kifaransa muda mrefu 🤣🤣🤣🤣
Acha ugaidiWanaume wanapigania mali zao,wapumbavu wanauziwa mafuta ya upako Ili wawe matajiri
Naam nakubali kabisa 🤜🤛Kweli mkuu, nlichoandika ndio ukweli wenyewe.
WaLiberia wana English pure kama ya wamarekanTrump kakosa cha kusema,nimesikiliza mara 30 huo uzuri sijauona,labda kama hapo nilipoanzia Mimi sio sehemu ya chanzo cha hizo sifa
Siyo suala la kushangaa kwa sababu kwa zaidi ya karne Waliberia wengi wamekuwa wakizungumza Kiingereza kama lugha ya kuzaliwa miongoni mwa nchi za Kiafrika.Rais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai: