Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,148
- 6,060
Hata mimi kuna lugha sizipendi, mfano kichinaKwa sisi tuliosomea Cuba tunafahamu vizuri kwamba lile lilikuwa dongo kwa wale viongozi wengine waliotumia muda uliobaki kuongea vifaransa vyao, mpaka alipowastopisha kwa kisingizio cha muda mchache wa maongezi uliobaki.
Unawambiaje watu eti umebaki na muda mchache wa maongezi, na wakati umewaalika kwako wewe mwenyewe!
Trump huwa hapendi kusikia lugha nyingine kinyume na English, ndio maana kipindi kile cha operation ya kwanza ya wahamiaji haramu nchini kwake aliwahi kusema kuwa lugha ya Marekani ni English tu na sio Hispanish wala lugha nyingine yoyote. Lengo likiwa mtu yeyote anaeongea Hispanish aonekane ni mhamiaji haramu kutokea Mexico, Venezuela na nchi nyingine za Amerika ya Kusini.
Alisema hivyo huku akifahamu fika kuwa Marekani kuna wamarekani wenye asili ya Mexico, haswa katika majimbo yaliopo mpakani na Mexico wanaongea ki hispanish kama lugha yao mama.
Ukiangalia raisi wa Liberia aliongea English ya kawaida sana, ila kwa vile alikuwa na lake jambo kwa waongea French, basi akaamua kutumia English cha raisi wa Liberia kama kichaka cha kutaka na wengine wakajifunze English, ili wakiwa wanaenda White House waende wakaongea English wasifiwe kama mwenzao.
Angalia Ilipofika tu zamu ya waongea kifaransa. Trump hakutaka kutumia muda kuwasikiliza au kuvaa lile dude masikioni.. alichofanya aliomba tu majina yao na nchi wanazotoka, na kuwaambia nashukuru kwa kuja kwenu.
Jamaa hakupenda kuendelea kusikiliza french akaomba mkutano uishe haraka haraka kwa lengo la kukwepa kusikiliza kifaransa muda mrefu 🤣🤣🤣🤣
Asingekubali mwaliko,Angetuma mwakilishi,angebaki kufanya ziara ya siku 5 katika Mkoa mmojawapo ndani ya Tanzania.!Magufuli angetutia aibu ya mwaka hapo
Wamarekani ni wapumbavu sana.Rais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai:
"Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri namna hii, wapi? Ulisoma wapi? Liberia?," alihoji.
Trump amewakaribisha viongozi kutoka Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa ajili ya majadiliano na chakula cha mchana Ikulu ya White House Jumatano hii, ambapo mazungumzo hayo yanalenga fursa za kibiashara.
Aibu ya vipi mbona yeye hajui lugha ya Afrika kwani haiwezekani kuwa na Elimu bila kujuwa kiingereza.Magufuli angetutia aibu ya mwaka hapo
Ni kweli, kuna lugha ambazo zikiongelewa hata dakika 5 kwenye masikio yako unahisi kichwa kinakuuma kuzisikia 🤣🤣Hata mimi kuna lugha sizipendi, mfano kichina
Liberia haikutawaliwa na marekani haijawahi tawala nchi yoyote ila liberia ni nchi iliyoundwa na wamarekani weusi walio kuwa utumwani america na kuamua kurudi nyumbani africaIna maana hajui kua Liberia ilikua Koloni la Marekani? hajui kama watu wa Liberia wanazungumza Kiingereza cha kimarekani? kumuuliza amesomea wapi ni ujinga pia
kipindi niko chuo nilikaa hostel na mshkaji mmoja wa manyara, ebanaeee yule jamaaa ni mtu poa sana mstaarabu.Ni kweli, kuna lugha ambazo zikiongelewa hata dakika 5 kwenye masikio yako unahisi kichwa kinakuuma kuzisikia 🤣🤣
Rais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai:
"Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri namna hii, wapi? Ulisoma wapi? Liberia?," alihoji.
Trump amewakaribisha viongozi kutoka Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa ajili ya majadiliano na chakula cha mchana Ikulu ya White House Jumatano hii, ambapo mazungumzo hayo yanalenga fursa za kibiashara.
Huyo ndiye Trump,umpende au umchukie poa tu.The old-babu knows how the game is supposed to be played!Rais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai:
"Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri namna hii, wapi? Ulisoma wapi? Liberia?," alihoji.
Trump amewakaribisha viongozi kutoka Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa ajili ya majadiliano na chakula cha mchana Ikulu ya White House Jumatano hii, ambapo mazungumzo hayo yanalenga fursa za kibiashara.
Wakati mwingine Trump ukurupuka sana, ni bingwa wa kutisha tisha mataifa ambayo ni weak au ambao ni washindani wa kiuchumi na kijeshi wa USA.
We fikiria hana habari kwamba Taifa LA Liberia lilianzishwa na watumwa walizaliwa na kuishi w Merikana kabla hawajarudi Africa magharibi miaka ya zamani ndio maana walirithi kingereza kilicho kuwa kinazungumzwa na babu na babu zao, kwani hilo Trump halijui??
🫸🫷Huyo ndiye Trump,umpende au umchukie poa tu.The old-babu knows how the game is supposed to be played!
Kunatofauti ya kiingereza na kigugumiziii..😁😅😊☺️Rais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai:
"Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri namna hii, wapi? Ulisoma wapi? Liberia?," alihoji.
Trump amewakaribisha viongozi kutoka Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa ajili ya majadiliano na chakula cha mchana Ikulu ya White House Jumatano hii, ambapo mazungumzo hayo yanalenga fursa za kibiashara.
Huyu na Magu wanaendana sana mambo yao.Rais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai:
"Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri namna hii, wapi? Ulisoma wapi? Liberia?," alihoji.
Trump amewakaribisha viongozi kutoka Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa ajili ya majadiliano na chakula cha mchana Ikulu ya White House Jumatano hii, ambapo mazungumzo hayo yanalenga fursa za kibiashara.
🤣Magufuli angetutia aibu ya mwaka hapo
Lini mama atasi?fiwaRais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai:
"Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri namna hii, wapi? Ulisoma wapi? Liberia?," alihoji.
Trump amewakaribisha viongozi kutoka Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa ajili ya majadiliano na chakula cha mchana Ikulu ya White House Jumatano hii, ambapo mazungumzo hayo yanalenga fursa za kibiashara.
lafudhi yake ni nzuri mno na uteuzi wa msamiati ni mzuri mno ndio vimemfanya trump astuke,ni kwakuwa hajui historia kuwa hao waliberia ni wamarekani wausiTrump kakosa cha kusema,nimesikiliza mara 30 huo uzuri sijauona,labda kama hapo nilipoanzia Mimi sio sehemu ya chanzo cha hizo sifa
Tena kapitiliza, ni muhuni na stupid.Huyu mzee huwa ni mpuuzi sana.
Ni kawaida kwa mwanasiasa kudidtract attention ili uweze kuwin maongezi. Hiyo ni technicalities tu za uongeaji.Rais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai:
"Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri namna hii, wapi? Ulisoma wapi? Liberia?," alihoji.
Trump amewakaribisha viongozi kutoka Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa ajili ya majadiliano na chakula cha mchana Ikulu ya White House Jumatano hii, ambapo mazungumzo hayo yanalenga fursa za kibiashara.
Acha ugaidiUkiwa unajua kiingereza watakusifia sana,ukiwa unajua kutengeza nuke,kuboresha uchumi wako,kiasi cha fuel kuuzwa bei ndogo kuliko maji kama IRAN,ukianza kuzitumia rasilimali zako effectively 100% unazimiliki kama Afghanistan,unakua ADUI.................kusifiana ujinga tu