Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Hakuna urafiki wala nini.

Hayo mambo ya urafiki yako overblown na ni copium ya walioshindwa.

Putin hana influence yotote ile kwa Marekani.

Wanadikiri urais wa marekan kamamhuku kwetu rais ndio anaamua kila akitakalo... kuna mambo yanaangukia kwenyw national security hayawezi kuwa comprimised .

Ndio putin na trump wanaweza kucheza dili za chini ya kapeti ku undeemine upande pro ukraine, after all, they are simply human beings. Ila Haitakuwa kama Africa rais kuja na maelekezo
 
A cordial relationship is not a friendship.

Trump and Putin are cordial with each other.
 
Zelensky alishasema hatakubali cease fire yoyote itakayoachwa majimbo yake kwa urusi sasa hapo sijui Trump anamaliza vipi mzozo
Ungewajua wanaomsaidia Zelensky toka vita vianze wala usingeuliza hili swali.

Akikatiwa misaada tu kwisha habari yake,Russia anapigana na NATO na sio Ukraine peke yake tambua hilo.
 
Zelensky alishasema hatakubali cease fire yoyote itakayoachwa majimbo yake kwa urusi sasa hapo sijui Trump anamaliza vipi mzozo
Sidhanii kama trumpet anania ya kumaliza vita ila kama anania kweli ni jambo jepesi sana marekani kama akikata msaada kwa ukraine sidhanii kama kuna taifa hapa duniani linaweza kuziba hilo gape ataloliacha americant ila ngoja tuone sina Imani na rahisi yeyote awaye wa us hasa kwenye suala la vita
 

Leo safi sana, babu mawigi kashinda!!!!! Mama kakimbilia kujificha ata makao makuu ya chama hajaonekana. Pengine ataenda baadaye....
 
Sio kwamba natabiri
Ndio ameshashinda ivyo
We unalala tu unasubiria BBC na CNN wakutangazie

Haiya
Looking forward kwa miaka 4 ijayo na mwamba Trump

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Chombo gani wewe hapo BBC,CNN na aljazeera wanasema ameshinda majimbo mawili makubwa bado mengine wewe jamaa muongo sana

USSR
Majimbo yaliyobaki ni vigumu sana Mpinzani wake kushinda. Kwa Trump ni mserereko. Ni sawa na kusema Yanga kesho itapoteza mechi kati yake na Nyuki Fc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…