Wamarekani wana akili watanzania asilimia kubwa ni wajinga.Wamarekani walionekana kumkubali sana mwanamama Kamala Haris. Ila lilipofika suala la kupiga kura ya urais, wakatafakari mara ya pili. Kuwa Mwanamke aongoze nchi? Inawezekana? Hapo ndipo wakatulia na kupata majibu,wakamtosa wakamchagua kaburu Trump. Watanzania tuwe na la kujifunza hasa linapokuja
suala la kuongoza nchi.
Kaliaga hayo hayo mwenzako mpaka rais wa ukraine na pm wa uk wameshampongeza officially!!Electoral votes zinahitajika 270 mtu ashinde Trump mpaka sasa anazo 247(kama hakuna mabadiliko) huyu Kamala anazo 214(kama hakuna mabadiliko) na mchakato wa kuhesabu unaendelea.
Kashinda jamaa tayariSasa ni 266
Nimeona hadi rais wa France.ImeishaKaliaga hayo hayo mwenzako mpaka rais wa ukraine na pm wa uk wameshampongeza officially!!
Kwahiyo uliumia sana binti? Zifiche chuki zako hizoDoesn’t matter, so long as alishangilia kifo chake ashangilie na sasa.
Ni aibu kwa bara la Afrika,lenye natural resources na human resources ya kutosha, kutembeza bakuri ughaibuni na mbaya zaidi viongozi wamekuwa madalali na makuwadi wa rasilimali.
How kwamba marekani ni sawa na dunia yote?How wakati majibu unayo.
Na Historia yenyewe inajieleza vizuri kwanzia Raisi wa 1 mpaka wa 46.
Unataka nini zaidi?
Huyo boya huwa zikizungumzwa habari za marekani basi yeye hujiona ndie mwenye ujuzi kuliko woteYaani we nilikubishia August ulivyokuja kudanganya watu kuwa Harris atashinda pole😁😁😁
kuna kipindi alipangua case nyingi dahhatimaye whitehouse ila mwamba karuka vihunzi vingi sana haya maisha hutakiwi kukata tamaa kifala aisee
Ndipo haya mataifa madogo yajifunze namna ya kuhusiana na Marekani. Leo anakubebesha mzigo, akidai anakusaidia kuufikisha salama, kesho kutwa anakubwaga nao na kukuacha kwenye mataa kama hivyo.Huyo amekurupuka usingizini, arudi kulala.
Trump atamwambia Putin abaki na alichomega, huku kichaa Zele akae kwa kutulia vita isitishwe (Isitishwe kwa maana Putin lazima atakuja kuiendeleza au vizazi vijavyo hadi lengo lao litimie)
Alishalegea kitambo sana, mkuu. Mtoa-pesa ndiye mwenye maamuzi. Anaruhusiwa kuvimba, lakini hawezi kuzuia lolote kwa sasa.Zelensky alishasema hatakubali cease fire yoyote itakayoachwa majimbo yake kwa urusi sasa hapo sijui Trump anamaliza vipi mzozo
Amka utakojoa kitandani 😂😂😂Hakuna nchi duania hii itachagua Mwanamke awe Raisi, labda Kwa kurithi, hivyo 2025 Tundu lissu akigombea na Samia , anashinda Tundu Lissu