Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Trump ameshinda wisconsin yenye vote kumi sasa kafikisha votes 277 zaidi ya zinazohitajika kuwa rais.
Hivyo Trump rasmi ndiye rais ajate wa Marekani.

Hongera Tru.p Mungu amekusimamia dhidi ya Kamala aliyetaka kuiharibu narekani.
Umeandika mpaka unakosea herufi ,narekani,Tru.p,ajate!
 
Sio kweli. Kama wananchi (popular votes)ndiyo wanaoamua nani awe Rais wao basi Hillary Clinton angekuwa Rais wa Marekani alipogombea na Trump maana Hillary Clinton alimshinda Trump kwa zaidi ya kura milioni tatu lakini Trump alitangzwa mshindi wa Urais baada ya kushinda kwenye electoral votes.

Sasa ubabaishaji huu una maana gani? Kwani wananchi wakifanya maamuzi moja kwa moja kuna shida gani?

Au wananchi wa Marekani hawana IQ za kujua nani anafaa kuwa Rais wao ndiyo maana hawaaminiwi badala yake wanachaguliwa Rais na watu wasiozidi 538.
Dah sijui nikueleweshe vipi.....
 
Ni busara sana asimpongeze licha ya kwamba tunajua Putin amefurahi sana swahiba wake na kaka yake kurejea Jumba Jeupe.

Sasa tunangoja baadaye songombingo zikitulia, waalikane kwenye chakula na picha ya pamoja katika mkutano wa G8 pale Kananaskis, Alberta, Canada mwakani.
Naam, vita ziishe
 
I told ya jmushi1


Screenshot_20241106-141903_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom