Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Umeandika mpaka unakosea herufi ,narekani,Tru.p,ajate!Trump ameshinda wisconsin yenye vote kumi sasa kafikisha votes 277 zaidi ya zinazohitajika kuwa rais.
Hivyo Trump rasmi ndiye rais ajate wa Marekani.
Hongera Tru.p Mungu amekusimamia dhidi ya Kamala aliyetaka kuiharibu narekani.