Donald Trump: Assad amekimbia nchi. Ni muda wa Putin na Zelensky kuachana na ukichaa unaoendelea; wakae chini wayamalize

Wale wafuatiliaji wa ndege za wakuu, watizame na kufuatilia anga yetu Asije kuwa katorokea kwenda Ngorongoro Aka UAE
 
Nchi 100, duh..
 
Bado utawala wa magaidi wa Iran nao udondoshwe
 
Wewe na we ni wale wajinga tu, ni lini pia Russia aliipiga USA?

Na huo uwezo wa wewe kifahamu kiundani kwamba Russia hawezi kupigika kwa USA umeutoa wapi

Na kule kujiamini kwako kwamba Pengine Russia ndio mwenye uwezo wa kuipiga USA umeutoa wapi zaidi ya kuwa na hasira tu za Dini (IMANI) mliovikwa yenye machufuko na huku wao kwa wao wakiendelea kuchapana na kuuwana kama wana miungu wawili

Nyie wenzetu ni bule kabisa
 

Mkuu hao sio kama
Wamesahau wanaangalia mslah yao urafiki wao wa kimaslah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…