GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Uebert Angel ameshamtabiria ushindi.
Kwa wanaomfahamu Uebert Angel, amekuwa na Historia ya tabiri zake kutimia. Baadhi ya mambo aliyotabiri na yakatimia ni pamoja na:
1. Kifo cha Malkia Elizabeth
2. Uchaguzi wa Kenya uliompa Ruto ushindi
3. Machafuko nchini Kenya
4. Uchaguzi nchini Nigeria
Na mengine mengi!
Kuhusu Trump, amesema kuwa kuna watu waliopanga kumkwamisha lakini hawatafanikiwa kwa sababu Mungu ameshampa Trump ushindi. Kwa lugha nyingine, Joe Biden ni msindikizaji tu. Rais wa Marekani ni Donald Trump.
Asiyeamini asubirie uchaguzi ufanyike halafu aurejee tena huu uzi!
Trump ni Rais wa Marekani 2025 - 2028.