miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
ha haha mugabe kifo ndiyo kitamtenganisha............. tabasamu la trump me hoi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ajiandae kutolewa
Uzushi mtupu.
Usiendeshwe na matamanio ya nafsi,yakiwa kinyume unaweza kupata msongo wa mawazo mwishowe utapata shambulio la moyoWana JF,
Jana nilitupia uzi hapa nikielezea kuwa Donald Trump kuzishughukiavUganda na Zimbabwe akiwabRais. Lskini nadikitika MOD 4 aliiondoa thread hiyo kuwa ni ya uongo. Nimesikitika sana kwasababu ni habari iko kwenye mtandao wa Uganga and Zimbabwe news.
Nimeamua kuileta habari hii tena kama ilivyo nikiambatanisha na mtandao wa zimeye.net habari za Kimataifa. Twende kazi!
International | ZimEye
Hii habari unaweza kuipata kwenye ZimEye ikiwa na kichwa cha habari: US: I Will Lock Mugabe,Museveni in Prison-Donald Trump I ZimEye.
Katika thread hiyo jana nilijaribu kuoanisha mawazo ya Trump kuwatimua kina Mugabe, Museveni na Serikali zao na Vyama kongwe barani Africa ambavyo havitaki kubadilisha tawala kama ilivyo kwa CCM(TANU/ASP) kwa kung'ang'ania madarakani! Kwamba kama Trump atawatimua Mugabe na Museveni kwa utawala wa miaka mingi usio wa Kidemokrasia basi hata CCM nao watimuliwe maana hawana tofauti na Mugabe na Museveni.
Usiendeshwe na matamanio ya nafsi,yakiwa kinyume unaweza kupata msongo wa mawazo mwishowe utapata shambulio la moyo
We Nyani,
Unadhihirisha unyani wako! Unajua maana ya Uzushi? Hizi habari ni za kweli na wavuti iko hapo kuonyesha matamko ya Trump.
Najua wewe ni CCM kindakindaki! Safari hii kwa Trump CCM mtakaa tu hakuna jinsi!
Huo ni uzushi, uongo mtupu.
Donald Trump hajawahi kusema hayo maneno.