Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
What if akakomaa kulivalia njuga alichokisema. Ukweli ni kwamba nchi nyingi za kiafrica tunajisifu tuna demokrasia lakini ukweli ni kwamba demokrasia hiyo ni ya maneno. Ona kinachotokea Uganda,ni unyanyasaji wa hali ya juu. Mm namuunga mkono mana kuna viongozi wa baadhi za nchi wamefanya nchi kama familia yao wanaongoza wanavyotaka wao bila kufwatisha sheria.
Usiwe mjinga, D.Trump hajawahi kusema hayo maneno na wala Trump hana mpango na Afrika, na kwanza Afrika haipo kwenye vipaumbele vya US foreign policy na ndiyo maana Afrika haijawahi kuwa kwenye campaign theme za USA hata siku moja ukiachilia Obama na uhusiano na baba yake lkn hiyo siyo foreign policy ya USA kwa maana maslahi ya USA Afrika ni madogo sana!
Hayo maneno ni ya kupakaziwa na makasimu wa D.Trump ambao wanampakazia mengi sana ili tu wamchafue lkn D.rump hajasema hayo maneno na wala kwanza hana mpango na Afrika, kusema maneno kama hayo unahitaji mtu mwenye affinity na Afrika sasa D.Trump hana affinity yoyote na Afrika...