Wana JF,
Jana nilitupia uzi hapa nikielezea kuwa Donald Trump kuzishughukiavUganda na Zimbabwe akiwabRais. Lskini nadikitika MOD 4 aliiondoa thread hiyo kuwa ni ya uongo. Nimesikitika sana kwasababu ni habari iko kwenye mtandao wa Uganga and Zimbabwe news.
Nimeamua kuileta habari hii tena kama ilivyo nikiambatanisha na mtandao wa zimeye.net habari za Kimataifa. Twende kazi!
International | ZimEye
Hii habari unaweza kuipata kwenye ZimEye ikiwa na kichwa cha habari:
US: I Will Lock Mugabe,Museveni in Prison-Donald Trump I ZimEye.
Katika thread hiyo jana nilijaribu kuoanisha mawazo ya Trump kuwatimua kina Mugabe, Museveni na Serikali zao na Vyama kongwe barani Africa ambavyo havitaki kubadilisha tawala kama ilivyo kwa CCM(TANU/ASP) kwa kung'ang'ania madarakani! Kwamba kama Trump atawatimua Mugabe na Museveni kwa utawala wa miaka mingi usio wa Kidemokrasia basi hata CCM nao watimuliwe maana hawana tofauti na Mugabe na Museveni.