Donald Trump: I Will Lock Mugabe, Museveni in Prison

Status
Not open for further replies.
Hilo bwege linaitwa Trump halikusema maneno hayo. Google huyo mwandishi uone yuko wapi?
 
jembe langu trump ni bora ungeacha kumzungumzia mugabe maana kashatabiriwa kabla ya 1 april atavuta
 

cc Nyani Ngabu
 
Mbn mnawaita wenzenu kafir hiyo haiwezi leta vita ya dini ya kidunia
 
Sasa huyu msaka urais wa marekani huku Afrika inamhusu nini au kaugua kichaa cha mbwa?
 
Halafu mangi hiyo mbege unanywea wapi aisee!dunia inabadilika kazi hakuna ni mashine na marobot ndio zinafanya kazi, kweli mangi haujui hilo sasa itakuaje

Hili jambo sijalisema kwa bahati mbaya ila kama sio mtu wa kuyachunguza maandiko ya biblia kwa kina na kwa maombi hutaelewa ila fanya hivi tafuta ktk mtandao " Sheria ya jumapili " au "new world order"
 
nyie ndio wale waafrika mnaowalaumu wazungu kwa matatizo yenu, wazungu wamekaa kwao nyie badala ya kufanya kazi mnawalaumu tu, watu wa type yako ni ngumu sana kupiga hatua
Somji Juma said:
Poor you..
Kwa akili zako unadhani ni kweli malekani wanaipenda afrika hadi kuitakia mema.????.

kwanini Trump hajamtaja Kagame.?
Kwanini Trump hajamtaja Kabila.??

jibu ni moja,ni kwasababu wao wanaangalia panalobanwa maslahi yao tu..

Yani ukiwa pupette wao hata utawale miaka 100 kwao hamna tatizo..

Sasa mijinga kama nyie eti mnadhani wanatuonea huruma

mkuu mbona sioni anapo mlaumu mzungu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…