Donald Trump kabla ya Uchaguzi alijikabidhi mbele ya Mungu

Donald Trump kabla ya Uchaguzi alijikabidhi mbele ya Mungu

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Donald Trump kabla ya Uchaguzi alijikabidhi mbele ya Mungu

Ni sawa kabisa na yule kiongozi pendwa mara kwa mara tunapomuona misikitini na makanisani alijikabidhi kwa Mwenyezi Mungu

Inapendeza sana , hata CHADEMA huwa tunaanza na Mungu .

Siku njema
View attachment 3145880
Masaburi ana mikono yenye damu inamliliaa haitamuacha salama......
 
Anapenda kuombewa sana. Ni muumini wa Kweli au ndiyo maigizo.
 
IMG_0887.jpeg
 
Back
Top Bottom