Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke

Trump

Mwenzetu Kalawiti

Mwezetu Kalawitiwa


Madhala ya Kulawitiwa ni makubwa Sana😂😂😂😂 Linda Mwanao na hakikisha nyumba yake ina fesi imara kama simba dangoteee
 
Mfumuko wa bei umepanda kote duniani kutokana na COVID-19 pamoja na vita vya uvamizi wa Russia Ukraine.
Marekani upande wa groceries ni habari nyingine wana majanga yao makubwa
 
Watu wanachanganya jinsia na kukataza ushoga.

Trump hajakataza ushoga na hana ubavu huo.
 
Yaani hotuba yote kaongelea USENGE tu hamna lingine?

Wekeni video tusikie wengine tuko vijijini hata hatuelewi!

Amezungumzia USENGE? Kasemaje?
 
Hajakataza ushoga.

Haiwezekani kuukataza ushoga.
Huuurrraaaaayyy!!! Sasa ni mwendo wa kubomoana vilivyo!!

Shida watanganyika wana cognitive dissonance!! Hata ukimwambia hiki ni kikombe haelewi anakwambia ni jagi!

Kuna tofauti kubwa kati ya USHOGA na UDUMEDADA.

UDUMEDADA ndio transgenderism, na hata hivyo sijui anaipinga kwa muktadha upi!

Labda kwa muktadha wa kutambulika kisheria, lakini mtu akiamua kukata uume na kuweka MBUNYE sidhani kama anazuiwa.

Heri yetu sisi wenye MBUNYE ZA ASILI.

Cc: Lamomy Mbaga Jr
 
Wizo una mbunye wewe?? 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…