Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke

Wavaakobazi watapinga
 
Wewe ni transgender?
 
Ni kwenye mambo na shughuli za kiserikali tu.

Kwa mfano, ukiwa unatuma maombi ya passport, wewe kama ni njemba mwenye mboli lakini unapenda kuwa mwanamke, huwezi kuweka jinsia yako kama mwanamke. Utaweka mwanaume.
 
It is too late, mabaradhuli wamejazana huko marekani na ulaya kote
 
Mbona hajazungumzia homeless....au hao siyo tatizo au dhahabu itawakuta hapo Mtaani wanapolala?
 
Ni kwenye mambo na shughuli za kiserikali tu.

Kwa mfano, ukiwa unatuma maombi ya passport, wewe kama ni njemba mwenye mboli lakini unapenda kuwa mwanamke, huwezi kuweka jinsia yako kama mwanamke. Utaweka mwanaume.
Haina ubaya kwa madhumuni ya kuepusha mitafaruku ya utambuzi wa kijinsia.

Yeye yuko obsessed na ma-labels, male, female, jike, dume, nk... ni sawa tu.

Cha muhimu asiingilie mambo ya vyumbani tu. Aiishie huko huko majukwaani.
 
JINSIA ZA BINADAMU
"Kuanzia leo, itakuwa ni sera rasmi ya Serikali ya Marekani kwamba inatambua Jinsia mbili pekee za binadamu, Mwanaume na Mwanamke."

"Jinsia hizi hazibadiliki, ni jinsia za asili zilizobena ukweli usiopingika"
Kwa kauli hii kijana wetu aondolewe vikwazo kwa sababu alikuwa analenga kuimarisha ukweli huu wa Uwepo wa Mme na Mke!!!
 
Naona amekuwa nae katika matajiri wakubwa duniani yaani sio ule utajiri wa kawaida
Mzee anapambana kwa njia zote na ni mkweli
Mtatusaidia wa huko kama amesaidiwa na Elon au ni miradi yake
 
Inavoonesha lijamaa halina utani kwenye hilo swala,nina clasmate yuko huko nimeona kapost status whataspp anarudi nyumbani anawalaumu joe na kamala
Baada ya kula kiapo kama Rais wa 47 wa Marekani, Rais Truph amtegaza kuanza zoezi la kuwarudisha wahamiaji haramu nchini kwao na kudhibiti mipaka ya nchi hiyo. Amesisitiza kuwa zoezi hilo litakuwa la aina yake haijawahi kutokea

Baada ya kula kiapo kama Rais wa 47 wa Marekani, Rais Truph amtegaza kuanza zoezi la kuwarudisha wahamiaji haramu nchini kwao na kudhibiti mipaka ya nchi hiyo. Amesisitiza kuwa zoezi hilo litakuwa la aina yake haijawahi kutokea
 
Kurudi kwa Trump ni somo zuri sana kwa watawala waliopo madarakani.

Kuwatendea vyema wapinzani wako ni jambo muhimu sana.

Democrats walimnyanyasa sana Trump. Kesi kila kona.

Wakavamia nyumba yake huko Florida na wakaisachi hadi kwenye makabati ambako mke wa Trump anahifadhi nguo zake za ndani.

Kesi za figisu huku na kule.

Yote hayo katika lengo la kumfanya asigombee urais au kumjeruhi kiasi kwamba akigombea, ashindwe.

Kagombea na akashinda.

Na watu wamempigia kura hivyo hivyo huku wakijua ana makesi kibao.

Uzuri ni kwamba, idadi kubwa ya watu waliziona hizo kesi ni za uchwara na za kizushi. Hivyo hawakujali kabisa.

Sasa wale wote waliohusika na kumnyanyasa Trump wana matumbo joto 🤣.

Wanahofia atawafanyia kile ambacho wao walimfanyia.

Sasa sijui wakati wanamnyanyasa walikuwa wanategemea nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…