Donald Trump Kumpa Uhuru Netanyahu Dhidi ya Iran

Donald Trump Kumpa Uhuru Netanyahu Dhidi ya Iran

Mtu anaishi kwenye mapango kama panyabuku tena apewe UHURU uyo Tramp mwenyewe kakoswakoswa Netanyahu nae alikuwa chooni ikawa bahati yake Dunia imechangamka kwasasa piga nikupige ita Gaidi namn nakwita GAIDI mkuu leta moto nmm naleta moto nani alidhani ipo siku nyumba ya Netanyahu itapigwa adi leo anaishi kigaid gaid juuu anakuogopa yupo kwenye mapango shubamit ETI apewe uhuru ili afanye nini kwa IRAN. Anajua fika IRAN INAWEZA KUMCHIMBUA UKO CHINI ALIPO
 
Iran anamajasusi wengi ndani ya Israel Netapaka anajua apo Israel sio salama kwasasa anaishi kwa off kuuu
 
M

Mada hizi zinaonyesha kabisa bila marekani Israel hakuna kitu.
Uzuri Iran hana mbwembwe ye anapiga vile vile utavokuja ..
Apige kukote alone akutane na harsh barrage of missle .Iran ameshaatoka huko hata west wamekiri Iran is untouchable
 
So sad, uwezi kuwapangia fikra watu kutokana socialisation process zao za nchi za Africa.

Huko US Donald Trump hataki tena watu wenye dual citizenship kuwa sehemu ya maamuzi ya US mainly Jews wenye (dual nationality).

Anyway US na Europeans wana kila sababu ya kutaka kuona ustawi wa taifa la Israel politically; Lakini sidhani kama wanashabikia hizo attacks

Hao wanaokimbia huko ni wahamiaji nchini kwao.

Sasa wewe mwafrica kushadadia mauaji ya Israel it’s, beyond me.
 
Anga la Iran lipo uchi wa mnyama kabisa. Hakuna namna ya kuzuia mashambulizi yeyote ya ndege za Israel. Israel inaweza kupiga popote nchini Iran 🤔
 
Trump hana chakuifanya Iran, angekua nacho angeishambulia iliposhambulia kambi za USA huko Iraq huku yeye akiwa Madarakani.
Tulia wewe
Iran ameingia choo cha baltazar mzee subiri mwakan
" Whatever you do, whatever you want to do, whoever you want to go after you have my blessing" Trump said to Israel during campaign
 
Anampa uhuru wa kufa? USA kumpa Israel uhuru wa kufanya ugaidi wao mbele ya Iran ni sawa na kusema umempa uhuru mtoto wako akaogelee kwenye mto wa mamba, hata huyo USA mbele ya Iran hana anachoweza kufanya
Unajiliwaza ili usiumie roho ila ukweli unaujua Iran ni sisimiz tuu
Iran ameingia choo cha baltazar mzee subiri mwakan
 
Jipe moyo lkn Netanyahu na wananchi wake wanalala kwenye mashimo kama panya afuu ndio mnatuimbia eti waIsrael wana akili zaid ya wengine uku wao wanalala kwenye mapango kama panyabuku😜😜😜 wkt mpinzani wake mkuu yani IRAN haaaaa wao kwao shwaliiiiiiiiii sasa mwenye akili apo yupi tuache mapambio vichwani mtaelewa tu🤔🤔🤔🤔🤔
 
IRAN NDIO DOLA KUUU KIJESHI toeni takataka vichwani mwenu mtaelewa ukweli uliowawazi kabisa, ata kipigo alichotoa IRAN ktk promis 2 na majibu ya Israel kwenda Iran tikio ilo pia limeonesha ukubwa wa IRAN na udogo w Israel kwa wenye akili zilizo huru🤔🤔🤔
 
Sio kweli, ila hataki vita vya muda mrefu anataka Israel apewe silaha anaz9taka amalizane na maadui zake
Tatizo la Israel sio kupewa silaha Hata ikifanyika shipment ya silaha kila baada ya lisaa Israel hii vita hawezi, sababu anapigana na watu ambao nature Yao si wakukubali kusarenda, pili anapigana na watu ambao sio nchi ni sehemu ya nchi, sababu ya kpigana ndio inasabisha huu mgogoro kumuelemea wao kunakitu wanakidai kilichochukuliwa na wao hawana alternative ndio sababu hawata poa. Imani ya mpiganaji ni tatizo kubwa Kwa waisraeli kuliko silaha, wazayuni ni wepesi kiroho kuliko Hamas tunaona wengi wanakata tamaa na kulia na kujinyonga, tatizo la mgogoro huu haliwezi kutatuliwa Kwa kumpa zayuni silaha TU. Lakini sisi tunasubiri muda utafika
 
USA current president is weak, hana maamuzi, sasa humjui Trump wewe na kwa taarifa yako kashasema tayari katika kampeni zake kuwa he will order to bomb Iran na kuipoteza kabisa
Trump alikua rais wa USA 2016-2020 na alikinzana na Iran,sasa kama alishindwa kuiangamiza Iran wakati huo ataweza kuiangamiza sasa hivi!??
Akili kisoda kweli ninyi,bora hata Biden ameitikisa Iran kuliko hata Trump.
 
Unajiliwaza ili usiumie roho ila ukweli unaujua Iran ni sisimiz tuu
Iran ameingia choo cha baltazar mzee subiri mwakan
Unaonekana kijana huna unalolijua kuhusu huu mzozo.
Unaropoka ropoka kama umekaa na balehe wenzako kijiweni.
Trump ni mtu vitisho tu ila sio vita,ndio maana kipindi chake haukuona vita zikirindima kama sasa.
Huyo Trump alikua rais 2016-2020 ni nini aliifanya Iran!?
Tena kipindi chake Iran alifanya unyambisi mwingi sana,alipiga kombora kambi za USA Iraq na aliteka tanker ya UK je huyo Trump alifanya nini!??
Endelea kujiropokea,Iran sio taifa jepesi kama unavyodhani.
 
IRAN NDIO DOLA KUUU KIJESHI toeni takataka vichwani mwenu mtaelewa ukweli uliowawazi kabisa, ata kipigo alichotoa IRAN ktk promis 2 na majibu ya Israel kwenda Iran tikio ilo pia limeonesha ukubwa wa IRAN na udogo w Israel kwa wenye akili zilizo huru🤔🤔🤔
Walokole ni shida Sana kuwaelemisha mpaka waone promis 3 yaan waone isreli imefunikiwa na vimuli muli ndo wataelewa
 
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CIA, amesema kwamba anatarajia serikali ya Donald Trump, tofauti na Setikali ya Biden, itampa Netanyahu uhuru wote dhidi ya Iran, yaani Israel iamue wakati gani wa kuishambulia Iran, iishambulie Iran kwa namna gani, na ishambulie maeneo gani.

Ikumbukwe kuwa utawala wa Biden, ulifanya jitihada kubwa, kwanza kuizuia Israelilipize kisasi, uliposhindwa hilo, ukajitahidi sana kuizuia Israel isishambulie targets ambazo Israel ilipanga kushambulia. Kwenye hili utawala wa Biden ulifanikiwa, na hivyo kuondoa visima vya mafuta na kiwanda cha kurutubisha nuclear energy kwenye orodha ya targets za Israel.

Lakini kuingia kwa utawalawa Trump, unatazamiwa kuyaonfoa haya yote, na huenda kusababisha vita kamili kati ya Israel na Iran.

Source: The Guardian:

Donald Trump will as president give Benjamin Netanyahu a “blank check” in the Middle East, possibly opening the way for all-out war between Israel and Iran, the former CIA director and US defense secretary Leon Panetta predicted.
“With regards to the Middle East, I think he’s basically going to give Netanyahu a blank check,” Panetta said of Trump, who won the presidential election this week and will take office again in January.
“‘Whatever you do, whatever you want to do, whoever you want to go after, you have my blessing.’ I mean, he basically said that [before the election].”
Umelewa dogo au ni ule msemo wa copy and paste, Donald Trump will as president give Benjamin Netanyahu afu pia umejikanyaga we mwenyewe kusema anatarajia si kwamba ndio itakavyo kuwa. Hi mada ni ndoto tupu, kwa hio sioni reason ya kuileta humu. Hakuna sehemu imesema kama kichwa cha habari yako.

Hivi kweli unadhani Trump hajui moto wa Iran. Atafanya nini zaidi ya alicho fanya Biden mpaa aseme; Whatever you do, whatever you want to do, whoever you want to go after, you have my blessing.


View: https://youtube.com/shorts/TwySCv1Tyt8?si=sGPJaldUXOc_7cB6
 
Back
Top Bottom