Apige kukote alone akutane na harsh barrage of missle .Iran ameshaatoka huko hata west wamekiri Iran is untouchableM
Mada hizi zinaonyesha kabisa bila marekani Israel hakuna kitu.
Uzuri Iran hana mbwembwe ye anapiga vile vile utavokuja ..
Tulia weweTrump hana chakuifanya Iran, angekua nacho angeishambulia iliposhambulia kambi za USA huko Iraq huku yeye akiwa Madarakani.
Unajiliwaza ili usiumie roho ila ukweli unaujua Iran ni sisimiz tuuAnampa uhuru wa kufa? USA kumpa Israel uhuru wa kufanya ugaidi wao mbele ya Iran ni sawa na kusema umempa uhuru mtoto wako akaogelee kwenye mto wa mamba, hata huyo USA mbele ya Iran hana anachoweza kufanya
sasa ndio utukane?Asilimia 90 ya watanzania wanakufa na akili birka jarib kutumia akil kijana utakuja kufi….. shaur yako ww fuata tu mkumbo
Tatizo la Israel sio kupewa silaha Hata ikifanyika shipment ya silaha kila baada ya lisaa Israel hii vita hawezi, sababu anapigana na watu ambao nature Yao si wakukubali kusarenda, pili anapigana na watu ambao sio nchi ni sehemu ya nchi, sababu ya kpigana ndio inasabisha huu mgogoro kumuelemea wao kunakitu wanakidai kilichochukuliwa na wao hawana alternative ndio sababu hawata poa. Imani ya mpiganaji ni tatizo kubwa Kwa waisraeli kuliko silaha, wazayuni ni wepesi kiroho kuliko Hamas tunaona wengi wanakata tamaa na kulia na kujinyonga, tatizo la mgogoro huu haliwezi kutatuliwa Kwa kumpa zayuni silaha TU. Lakini sisi tunasubiri muda utafikaSio kweli, ila hataki vita vya muda mrefu anataka Israel apewe silaha anaz9taka amalizane na maadui zake
Trump alikua rais wa USA 2016-2020 na alikinzana na Iran,sasa kama alishindwa kuiangamiza Iran wakati huo ataweza kuiangamiza sasa hivi!??USA current president is weak, hana maamuzi, sasa humjui Trump wewe na kwa taarifa yako kashasema tayari katika kampeni zake kuwa he will order to bomb Iran na kuipoteza kabisa
Ubavu huo hana kupambana na Iran hapo Gaza tu anasaidiwa mpk majeshi ya USA yanapgana kwa ajili Yao na hakuna kituNa waache wapambane wao tu 2, wasiingilie pia
Unaonekana kijana huna unalolijua kuhusu huu mzozo.Unajiliwaza ili usiumie roho ila ukweli unaujua Iran ni sisimiz tuu
Iran ameingia choo cha baltazar mzee subiri mwakan
Walokole ni shida Sana kuwaelemisha mpaka waone promis 3 yaan waone isreli imefunikiwa na vimuli muli ndo wataelewaIRAN NDIO DOLA KUUU KIJESHI toeni takataka vichwani mwenu mtaelewa ukweli uliowawazi kabisa, ata kipigo alichotoa IRAN ktk promis 2 na majibu ya Israel kwenda Iran tikio ilo pia limeonesha ukubwa wa IRAN na udogo w Israel kwa wenye akili zilizo huru🤔🤔🤔
Umelewa dogo au ni ule msemo wa copy and paste, Donald Trump will as president give Benjamin Netanyahu afu pia umejikanyaga we mwenyewe kusema anatarajia si kwamba ndio itakavyo kuwa. Hi mada ni ndoto tupu, kwa hio sioni reason ya kuileta humu. Hakuna sehemu imesema kama kichwa cha habari yako.Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CIA, amesema kwamba anatarajia serikali ya Donald Trump, tofauti na Setikali ya Biden, itampa Netanyahu uhuru wote dhidi ya Iran, yaani Israel iamue wakati gani wa kuishambulia Iran, iishambulie Iran kwa namna gani, na ishambulie maeneo gani.
Ikumbukwe kuwa utawala wa Biden, ulifanya jitihada kubwa, kwanza kuizuia Israelilipize kisasi, uliposhindwa hilo, ukajitahidi sana kuizuia Israel isishambulie targets ambazo Israel ilipanga kushambulia. Kwenye hili utawala wa Biden ulifanikiwa, na hivyo kuondoa visima vya mafuta na kiwanda cha kurutubisha nuclear energy kwenye orodha ya targets za Israel.
Lakini kuingia kwa utawalawa Trump, unatazamiwa kuyaonfoa haya yote, na huenda kusababisha vita kamili kati ya Israel na Iran.
Source: The Guardian:
Donald Trump will as president give Benjamin Netanyahu a “blank check” in the Middle East, possibly opening the way for all-out war between Israel and Iran, the former CIA director and US defense secretary Leon Panetta predicted.
“With regards to the Middle East, I think he’s basically going to give Netanyahu a blank check,” Panetta said of Trump, who won the presidential election this week and will take office again in January.
“‘Whatever you do, whatever you want to do, whoever you want to go after, you have my blessing.’ I mean, he basically said that [before the election].”