Donald Trump mambo magumu Yemen . Aiangushia lawama Iran na kuapa kuchukua hatua Kali dhidi ya Iran

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,509
Baada ya masaa 36 ya mashambulizi ya kulipizana kisasi. Donald Trump amekuja na mpya Leo anasema mashambulizi yeyote yatakayofanywa na houth kuanzia sasa atachukulia ni Iran imehusika kuanzia silaha , intelijensia n.k.
Hivi huyu trump kama Yemen wanamtoa jasho atawaweza Iran?
20250317_195256.jpg
 
huwa nashindwa kuelewa siri ya waarabu ni nini !!?

wazayuni na usa wanapiga mabomu mfululizo wanatifua majumba juu chini

lakini bado jamaa wanaibuka tena na kushambukia kwa nguvu wakiwa na hali kasi na nguvu mpya
hakika kwenye HAKI kuna jambo kitu kinacholeta NGUVU TUMAINI na utetezi ikiwa unaonewa kweli na hakuna unafiq ndani yake
basi kuna nguvu ya AJABU ipo inayoratibu hayo mambo si bure
Mana kwa vichapo wanavyopata basi hapana shaka hayo mataifa yangekuwa yadhafutika na kubaki historia
 
Tatizo la waarabu siku zote ni ujinga, sasa hao magaidi wa Houthi wanadanganywa na makafiri wa Iran lakini wala hawaoni sawa tu walivyo mdanganya Assad hadi leo yuko ukimbizini.

Pia walivyowadanganya magaidi wa Hezbollah na Hamas hadi viongozi wao wote wamepelekwa kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo.
 
Baada ya masaa 36 ya mashambulizi ya kulipizana kisasi. Donald Trump amekuja na mpya Leo anasema mashambulizi yeyote yatakayofanywa na houth kuanzia sasa atachukulia ni Iran imehusika kuanzia silaha , intelijensia n.k.
Hivi huyu trump kama Yemen wanamtoa jasho atawaweza Iran?View attachment 3274349
Wamekutana kinyamkera na mwenembago!; PATACHIMBIKA😇🔥🔥
 
Baada ya masaa 36 ya mashambulizi ya kulipizana kisasi. Donald Trump amekuja na mpya Leo anasema mashambulizi yeyote yatakayofanywa na houth kuanzia sasa atachukulia ni Iran imehusika kuanzia silaha , intelijensia n.k.
Hivi huyu trump kama Yemen wanamtoa jasho atawaweza Iran?View attachment 3274349
Kuna mvaa kobazi anaingizwa kilengeoni
 
Baada ya masaa 36 ya mashambulizi ya kulipizana kisasi. Donald Trump amekuja na mpya Leo anasema mashambulizi yeyote yatakayofanywa na houth kuanzia sasa atachukulia ni Iran imehusika kuanzia silaha , intelijensia n.k.
Hivi huyu trump kama Yemen wanamtoa jasho atawaweza Iran?View attachment 3274349
Duh. Hili povu lote atakuwa alipiga crack mbaya sana ya kutoka Peru
 
Baada ya masaa 36 ya mashambulizi ya kulipizana kisasi. Donald Trump amekuja na mpya Leo anasema mashambulizi yeyote yatakayofanywa na houth kuanzia sasa atachukulia ni Iran imehusika kuanzia silaha , intelijensia n.k.
Hivi huyu trump kama Yemen wanamtoa jasho atawaweza Iran?View attachment 3274349
New escalation
 
Tatizo la waarabu siku zote ni ujinga, sasa hao magaidi wa Houthi wanadanganywa na makafiri wa Iran lakini wala hawaoni sawa tu walivyo mdanganya Assad hadi leo yuko ukimbizini.

Pia walivyowadanganya magaidi wa Hezbollah na Hamas hadi viongozi wao wote wamepelekwa kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo.
Hakuna umwamba Dunia ya Leo unazuia wapalestina wasipate umeme, chakula Wala maji ya kunywa kwa sababu una nguvu Tena ndani ya nchi yao unataka wakae kimya wafe? Yemen ni mwanaume ameonesha kuwa ana morals duty kuwasaidia wapalestina. Israel na marekani ni zaidi ya mashetani.
 
na huo ndio ukweli iran ndio mfadhili mkuu wa ugaidi.
Gaidi mkuu ni marekani kama ulikua hujui. Israel anazuia wapalestina wasipate chakula, maji Wala umeme kwenye ardhi Yao kutokana na jeuri anayopewa na marekani.lakini Yemen wamegoma watapambana na marekani mpaka dakika ya mwisho .
 
Wabongo Wana miemko ya kidini na wajinga kuchambua mambo ..yaani mpk Leo hii mtu mzima na akili yake asijue wachafuzi wa amani duniani kua ni Hawa wazungu ?
 
huwa nashindwa kuelewa siri ya waarabu ni nini !!?

wazayuni na usa wanpaiga mabomu mfululizo wanatifua majumba juu chini
lakini bado jamaa wanaibuka tena na kushambukia kwa nguvu wakiwa na hali na kasi mpya
Israel iliitandika Lebanon,siku ya kwanza,ya pili ikarudia labda Kuna nyau amebakia,siku ya tatu ikatandikwa Israe na Lebanon ikaomba vita iishe.
 
Baada ya masaa 36 ya mashambulizi ya kulipizana kisasi. Donald Trump amekuja na mpya Leo anasema mashambulizi yeyote yatakayofanywa na houth kuanzia sasa atachukulia ni Iran imehusika kuanzia silaha , intelijensia n.k.
Hivi huyu trump kama Yemen wanamtoa jasho atawaweza Iran?View attachment 3274349
Tatizo Tramp ikija ishu ya Iran amuezi tutaona tu akikimbilia kwenye vikwazo!!!

ivi kwani nani ajui kuusika kwa IRAN iran ametuma msg kwa Tramp kuwa ukichagua MOTO utapewa MOTO akuna wa kuondoka GAZA hiii Msg tu kwasasa apime kina cha maji!!!!!
 
Back
Top Bottom