Donald Trump ni Rafiki wa kweli wa Afrika, wajinga na wanufaika wa misaada pekee watalaumu maamuzi yake

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Je sisi ni raia wa Marekani ?

Je tunalipa kodi au tozo Marekani?

Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ?

Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada.

Nadhani Africa tumepewa kila kitu labda Akili tu

Trump ni Rafiki mwema anatufundisha namna ya kujitegemea na kuachana na misaada yenye Masharti magumu .​
 
Hili naungo mkono hoja, yaani nchi ina ilipata uhuru zaidi ya miaka 60 iliyopita na bado tunaamini kuwa misaada ndiyo itatuletea maendeleo? AIBU KUWA SANA KWA BARA LA AFRICA NA MATIFA MENGINE YA AINA HII.
Mtoto akifikisha umri wa miaka 18 ananza kujitegemea lakini sisi nchi za Africa umri miaka 60+ bado tunalilia misaada
 
Je sisi ni raia wa Marekani ?

Je tunalipa kodi au tozo Marekani?

Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ?

Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada.

Nadhani Africa tumepewa kila kitu labda Akili tu

Trump ni Rafiki mwema anatufundisha namna ya kujitegemea na kuachana na misaada yenye Masharti magumu .​
Marekani wametudumaza sana akili na inawezekana wasimamizi wanafaidika kwa kiasi kikubwa
 
Bora kuwa na akili kuliko mali.
Ukiwa na akili unaweza kwenda kijijini ukawachimbisha madini au kuwalimisha wanakijiji kwa ujira mdogo ktk ardhi yao hio hio ambao wao hawawezi bila kulipwa.
Shida tulikurupukia uhuru bila kujua nini tufanye baada ya uhuru
 
Je sisi ni raia wa Marekani ?

Je tunalipa kodi au tozo Marekani?

Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ?

Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada.

Nadhani Africa tumepewa kila kitu labda Akili tu

Trump ni Rafiki mwema anatufundisha namna ya kujitegemea na kuachana na misaada yenye Masharti magumu .​
umefikiria kuhusu ARV ambazo wengi wakikosa au wakiambiwa wanunue watazikosa na watakufa sana. hivi ninavyoongea nina ndugu yangu ameanza kuzitumia wiki iliyopita, na sijui hatma yake kwamba tutaanza kumchangia hela za kununua for therest of her life. nadhani ni wakati nchi zetu pia zianze kuwa na harsh view against marekani, kama hawana faida kwetu, tugeukie nchi zingine kwa nguvu zote.
 
Nawashauri ccm "wakamteke" trump kwa kuleta taharuki
 
umefikiria kuhusu ARV ambazo wengi wakikosa au wakiambiwa wanunue watazikosa na watakufa sana. hivi ninavyoongea nina ndugu yangu ameanza kuzitumia wiki iliyopita, na sijui hatma yake kwamba tutaanza kumchangia hela za kununua for therest of her life. nadhani ni wakati nchi zetu pia zianze kuwa na harsh view against marekani, kama hawana faida kwetu, tugeukie nchi zingine kwa nguvu zote.
Sasa wakikosa shida ni trump au CCM ?
 
Back
Top Bottom