Iiih, taharuki Tena jamani , Uuuwiiih !Nawashauri ccm "wakamteke" trump kwa kuleta taharuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iiih, taharuki Tena jamani , Uuuwiiih !Nawashauri ccm "wakamteke" trump kwa kuleta taharuki
😆😆😆Huyu Trump ni Mzee wa kichagga Tena Mkibosho kabisa
Mtoto over 17 ondoka home kafie mbele
AiseeNawashauri ccm "wakamteke" trump kwa kuleta taharuki
Tunaotumia tupo tayari kusacrifice maisha yetu kwa ajili ya wengi watakaobaki bora sisi tulionao tuondoke tuwaache wazima waendelee kuijenga nchi africa ina population over 1.5 billion na tunaoumwa aproximately kama 30 million sasa ni bora tuishe tuiache Africa ikiwa safiumefikiria kuhusu ARV ambazo wengi wakikosa au wakiambiwa wanunue watazikosa na watakufa sana. hivi ninavyoongea nina ndugu yangu ameanza kuzitumia wiki iliyopita, na sijui hatma yake kwamba tutaanza kumchangia hela za kununua for therest of her life. nadhani ni wakati nchi zetu pia zianze kuwa na harsh view against marekani, kama hawana faida kwetu, tugeukie nchi zingine kwa nguvu zote.
kabisaBora ukose mali ila upate akili
Vipi tena bibieDuh aiseee
Hapa aliingilia uhuru wetuBalozi wa Marekani alipoonya kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya CCM Samia alitoa majibu ya kifedhuli sana,sasa Trump naye amechoka kuwasaidia watu wasiokuwa na utu hata kwa Raia wao kama ifanyavyo serikali ya CCM kwa wapinzani.
Mwamba Magufuli alikuwa anayasema hayahaya mkamlaumu hadi kumuapia kwa Mama zenu. Sasa anaongea Trump kwakuwa ni mzungu mnamsifia. Kwakweli Miafrika ndivyo tulivyo!!!Je sisi ni raia wa Marekani ?
Je tunalipa kodi au tozo Marekani?
Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ?
Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada.
Nadhani Africa tumepewa kila kitu labda Akili tu
Trump ni Rafiki mwema anatufundisha namna ya kujitegemea na kuachana na misaada yenye Masharti magumu .
Jiwe alikuwa kichaa, hata yeye aliwahi kujiita hivyoMwamba Magufuli alikuwa anayasema hayahaya mkamlaumu hadi kumuapia kwa Mama zenu. Sasa anaongea Trump kwakuwa ni mzungu mnamsifia. Kwakweli Miafrika ndivyo tulivyo!!!
Na Trump ana akili timamu kwasababu mzungu sio?Jiwe alikuwa kichaa, hata yeye aliwahi kujiita hivyo
Anaweza pia kuwa kichaa lakini binafsi hajawahi kujiita hivyoNa Trump ana akili timamu kwasababu mzungu sio?
Hakuna fair trade,walishatuibia sana, hawatupagi misaada Bure huwa wanatuzidi kimagendo nahilo halitokoma kwakuwa trumpet ni Rais uchwara!
Dunia hii UKIFANIKIWA ni wajibu kusaodia wenzio wainuke hiyo siyo ombi...
kitachotokea Marekani itapoteza usupa pawa na ushawishi duniani na nchi kama china,Japan zitaibuka na kuipiku.
Trump ninamsifu Kwa kukataa ufirauni tuu lkn maneno mengine yooote huyu ni mbaguzi,mropokaji,kabaila lenyeroho mbaya mnaosifu hamjui mnachosifu hasa nikitu gani