Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Utakufa lini tuoe mke wako ?Tanzania ina wajinga sana hata humu wapo wengi wana amini kwa 100% nchi masikini na hili gape ndo wanatupigia viogozi mafisadi
Idadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi sanaUtakufa lini tuoe mke wako ?
Hili naungo mkono hoja, yaani nchi ina ilipata uhuru zaidi ya miaka 60 iliyopita na bado tunaamini kuwa misaada ndiyo itatuletea maendeleo? AIBU KUWA SANA KWA BARA LA AFRICA NA MATIFA MENGINE YA AINA HII.Je sisi ni raia wa Marekani ?
Je tunalipa kodi au tozo Marekani?
Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ?
Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada.
Nadhani Africa tumepewa kila kitu labda Akili tu
Trump ni Rafiki mwema anatufundisha namna ya kujitegemea na kuachana na misaada yenye Masharti magumu .
Marekani wametudumaza sana akili na inawezekana wasimamizi wanafaidika kwa kiasi kikubwaJe sisi ni raia wa Marekani ?
Je tunalipa kodi au tozo Marekani?
Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ?
Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada.
Nadhani Africa tumepewa kila kitu labda Akili tu
Trump ni Rafiki mwema anatufundisha namna ya kujitegemea na kuachana na misaada yenye Masharti magumu .
Hatari sanaIdadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi sana
umefikiria kuhusu ARV ambazo wengi wakikosa au wakiambiwa wanunue watazikosa na watakufa sana. hivi ninavyoongea nina ndugu yangu ameanza kuzitumia wiki iliyopita, na sijui hatma yake kwamba tutaanza kumchangia hela za kununua for therest of her life. nadhani ni wakati nchi zetu pia zianze kuwa na harsh view against marekani, kama hawana faida kwetu, tugeukie nchi zingine kwa nguvu zote.Je sisi ni raia wa Marekani ?
Je tunalipa kodi au tozo Marekani?
Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ?
Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada.
Nadhani Africa tumepewa kila kitu labda Akili tu
Trump ni Rafiki mwema anatufundisha namna ya kujitegemea na kuachana na misaada yenye Masharti magumu .
Nawashauri ccm "wakamteke" trump kwa kuleta taharukiJe sisi ni raia wa Marekani ?
Je tunalipa kodi au tozo Marekani?
Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ?
Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada.
Nadhani Africa tumepewa kila kitu labda Akili tu
Trump ni Rafiki mwema anatufundisha namna ya kujitegemea na kuachana na misaada yenye Masharti magumu .
Sasa wakikosa shida ni trump au CCM ?umefikiria kuhusu ARV ambazo wengi wakikosa au wakiambiwa wanunue watazikosa na watakufa sana. hivi ninavyoongea nina ndugu yangu ameanza kuzitumia wiki iliyopita, na sijui hatma yake kwamba tutaanza kumchangia hela za kununua for therest of her life. nadhani ni wakati nchi zetu pia zianze kuwa na harsh view against marekani, kama hawana faida kwetu, tugeukie nchi zingine kwa nguvu zote.