figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Tumeshawasha moto sana kule X tukimuunga mkono Mange. Huyu mama mwaka huu ama zake ama zetu lazima Marekani aje kumshughulikia vilivyo. Hawezi kutuua kama sisimizi kututeka na kutulawiti alafu akabaki salama.Wakuu, tumchongee Samia Suluhu kwa Trump
Baba Donald Trump, Huku Tanzania kuna Mwanamke anaitwa Samia Suluhu Hassan aliikuita who are you.. Mvutie pumzi.. Kwa sasa yupo huko Tunguu Zanzibar. Siku mkimtaka ntatoa Ushirikiano.. Yaani mtamkamata kama kuku wa Kisasa..
View attachment 3524995
Naye anatakiwa apokee unyakuo kama kifaranga kinavyonyakuliwa na mwewe.
Kilichotokea 29 Oktoba 2025, ni sababu tosha ya kunyakua.
Pia alisema wewe ni beberu unatamani Ullenium yake ya Urani
Trump anawapenda sana mazuzu kama nyinyi mnaokubali kufanywa daraja na Marekani wapore Mali zenu Ili Marekani ineemekeWakuu, tumchongee Samia Suluhu kwa Trump
Baba Donald Trump, Huku Tanzania kuna Mwanamke anaitwa Samia Suluhu Hassan aliikuita who are you.. Mvutie pumzi.. Kwa sasa yupo huko Tunguu Zanzibar. Siku mkimtaka ntatoa Ushirikiano.. Yaani mtamkamata kama kuku wa Kisasa..
View attachment 3524995
Naye anatakiwa apokee unyakuo kama kifaranga kinavyonyakuliwa na mwewe.
Kilichotokea 29 Oktoba 2025, ni sababu tosha ya kunyakua.
Pia alisema wewe ni beberu unatamani Ullenium yake ya Urani
Kila mtu ashinde mechi zake. Acha tuonekane mazuzu ila nyie ccm mnaotuua na kututeka lazima awashughulikie kisawasawa.Trump anawapenda sana mazuzu kama nyinyi mnaokubali kufanywa daraja na Marekani wapore Mali zenu Ili Marekani ineemeke
Shida kwamba Trump huwa anajisahau na kuwatukana pale anaposema kuwa
WAFRICA NA WAARABU NI WAJINGA UKIWAPA SIRAHA WANAUANA WAO KWA WAO
Yani mnamsaidia apole Mali zenu alafu anakuiteni wajinga
Kama umekubali kuwa nyinyi mazuzu Haina shida na hakuna zuzu aliyewahi kufanya kitu chenye faida katika jamiiKila mtu ashinde mechi zake. Acha tuonekane mazuzu ila nyie ccm mnaotuua na kututeka lazima awashughulikie kisawasawa.
Acha aje apore. Mbona ccm nao wanapora tu. Wananchi wanafaidika nini kama hata matundu ya choo tunajengewa kwa msaada wa wazungu?wapore Mali zenu Ili Marekani ineemeke
Mali zenu zipi ?Trump anawapenda sana mazuzu kama nyinyi mnaokubali kufanywa daraja na Marekani wapore Mali zenu Ili Marekani ineemeke
Shida kwamba Trump huwa anajisahau na kuwatukana pale anaposema kuwa
WAFRICA NA WAARABU NI WAJINGA UKIWAPA SIRAHA WANAUANA WAO KWA WAO
Yani mnamsaidia apole Mali zenu alafu anakuiteni wajinga
Wanajificha kwenye kichaka Cha kijinga sanaAcha aje apore. Mbona ccm nao wanapora tu. Wananchi wanafaidika nini kama hata matundu ya choo tunajengewa kwa msaada wa wazungu?
Mimi sijui ila Venezuela wameenda kupora mafuta Sasa sijui kama na nyinyi mnayo mafuta au mna Mali zingineMali zenu zipi ?
Unazungumziaje kitu usichokijua Sasa?Mimi sijui ila Venezuela wameenda kupora mafuta Sasa sijui kama na nyinyi mnayo mafuta au mna Mali zingine
Wewe ndio mpumbavu. Kwa hiyo samuya aendelee kuuwa raia na aachwe tu? Pumbavu ***** weweTrump anawapenda sana mazuzu kama nyinyi mnaokubali kufanywa daraja na Marekani wapore Mali zenu Ili Marekani ineemeke
Shida kwamba Trump huwa anajisahau na kuwatukana pale anaposema kuwa
WAFRICA NA WAARABU NI WAJINGA UKIWAPA SIRAHA WANAUANA WAO KWA WAO
Yani mnamsaidia apole Mali zenu alafu anakuiteni wajinga
Unazungumziaje kitu usichokijua Sasa?