Donald Trump, Samia Suluhu alikuita "WHO ARE YOU?"

Wakuu, tumchongee Samia Suluhu kwa Trump
View attachment 3525020
Baba Donald Trump, Huku Tanzania kuna Mwanamke anaitwa Samia Suluhu Hassan aliikuita who are you.. Mvutie pumzi.. Kwa sasa yupo huko Tunguu Zanzibar. Siku mkimtaka ntatoa Ushirikiano.. Yaani mtamkamata kama kuku wa Kisasa..
View attachment 3524995
Naye anatakiwa apokee unyakuo kama kifaranga kinavyonyakuliwa na mwewe.

Kilichotokea 29 Oktoba 2025, ni sababu tosha ya kunyakuliwa.

Pia alisema wewe ni beberu unatamani madini yake ya Urani
View attachment 3525005View attachment 3525008
View attachment 3525013
😂😂😂
 
Kila ninapoangalia klipu hii, naona Bi. Msumi akiwashikia kiuno Marekani na mataifa ya Magharibi na washirika wake. Kisha ninapotazama mashambulizi makali wanayopata Iran hadi ulimwengu unabaki katika mshangao, Itoshe kusema kwamba kama nchi tunaongozwa na mwendawazimu.
 
Marekani shikilieni hapo hapo. Anakaribia kutoa mlio
 
Back
Top Bottom