Donald Trump, Samia Suluhu alikuita "WHO ARE YOU?"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hatakanya Marekani akihofia kutwaliwa
 
Wapi nimepinga?, nimekuuliza akija vamia kwako atachukua Mali zipi unazodai ni Mali zenu?
 
We mjina, tambua kuwa hapa kwetu hakuna mali ya kupora Marekani . Ni mali gani uliyo nayo hapa ambayo Marekani haina na, na hiyo mali ina nafasi ya pekee kwa maendeleo ya Marekani?
 
Wapi nimepinga?, nimekuuliza akija vamia kwako atachukua Mali zipi unazodai ni Mali zenu?
Do kumbe wajinga mpo wengi kiasi hiki

Ndio maana mnatumiwa kuleta Fujo

Yani hata haujui kama Tanzania Kuna madini adimu duniani yanayotumika kutengeneza zana za kisasa za kivita?

Pia haujui kama Tanzania Kuna Uranium ya nyingi sana
 

Attachments

  • Screenshot_20260102-193647.jpg
    128.7 KB · Views: 13
Do kumbe wajinga mpo wengi kiasi hiki

Ndio maana mnatumiwa kuleta Fujo

Yani hata haujui kama Tanzania Kuna madini adimu duniani yanayotumika kutengeneza zana za kisasa za kivita?

Pia haujui kama Tanzania Kuna Uranium ya nyingi sana
Kumbe ni chawa , pumnzika kwanz huko ignore na wapumbavu wenzako Sina Cha kujadili na wewe
 
Kama umekubali kuwa nyinyi mazuzu Haina shida na hakuna zuzu aliyewahi kufanya kitu chenye faida katika jamii

Kama mngeweza kuenda kuchukua experience Kwa mazuzu wenzenu wa LIBYA na SUDANI ingekuwa vizuri Ili kazi yenu iwe nyepesi
Hoja yako inajicontradict. Hao RSF wa Sudan walitengezwa na serikali Yao Kama ninyi mlivyowatengeneza wasiojulikana wanaotekwa, kufira, kulawiti na kuua wale wanaokuwa na hoja pinzani au wasiomsifu rais na serikali imekuwa kimya kana kwamba wanaruhusiwa. Na hili linaungwa mkono na Sheria ya Samia ya kutoshitakiwa kwa tiss.
Kwa Sasa wasiojulikana hamtawaweza tena kwani wameona ajira Yao inalipa na wamekuwa mamilionea kwa taarifa yako.
Badala ukemee ujinga huu wa wanasiasa kumiliki jeshi lao kwa kutumia rasilimali za serikali upo hapo unakenua.
 
Hivi nyie ,mnaojificha kwenye kichaka sijui mali ,ni mali zipi za nchi zimekufaisha, watu wanazigawa kama njugu alafu mnakuja na upumbavu hapa wa sijui mali,

Bwana kama USA anakuja kuwasaidi wananchi kupata haki aje tu, ata akitaka kipande cha ardhi apewe tu, au akitaka kisiwa chochote apewe , lakini pia akitaka moja ya mbuga apewe ili hali yuko tiyari kuwasaidia wananchi ondokona na mkwamo uliopo.
 
We mjina, tambua kuwa hapa kwetu hakuna mali ya kupora Marekani . Ni mali gani uliyo nayo hapa ambayo Marekani haina na, na hiyo mali ina nafasi ya pekee kwa maendeleo ya Marekani?
Marekani ana reserve kubwa tu ya oil, ila hachimbi anatumia ya wengine.

Alichokifanya ni ujambazi wa wazi.

Trump akemewe alichokifanya ni udhalilishaji wa Taifa huru la Venezuela.
 
Marekani ana reserve kubwa tu ya oil, ila hachimbi anatumia ya wengine.

Alichokifanya ni ujambazi wa wazi.

Trump akemewe alichokifanya ni udhalilishaji wa Taifa huru la Venezuela.
Ndio tunamtaka aje na huku afanye alichokifanya Venezuela, na tunamwambia kabisa ajichagulie rasilimali anazotaka kuchukua maana sisi huwa hazijawahi kutunufaisha zaidi ya kuwatajirisha mafisadi na familia zao na nyie machawa mliozoea kurushiwa makombo.

Tena tunataka aje haraka kabla ya mwaka huu haujaisha.

Ndio mjue umuhimu wa kuwaongoza raia wako vizuri bila kuwanyanyasa,... ona sasa leo raia tunaomba nchi yetu ivamiwe kitu ambacho miaka ya nyuma hakikuwahi kuwepo watu walilipenda hili taifa na walijivunia kuwa watanzania tofauti na leo hii kila mtu analiombea mabaya sababu tu ya kundi la watu wachache wanaojiita watawala.
 
Trump aifufue Guantanamo iwe mahsusi kwa ajili na hawa akina Maduro!!

NB:Kagame ajipange,hao jamaa zake kule Mashariki mwa DRC watamponza.
 
Ukiendelea na hiyo mentality ya kutaka serikali ikufanyie kila kitu utalalamika milele.
 
Hahah! Mtakuja muue watu kwa presha nyie!, mwacheni mwenzenu aendelee kujificha huko aliko.
 
Kipimo cha akili na uelewa ni pamoja na kutambua wanaokuzidi uwezo na uwezo wao. Ni SWALA mpumbavu atamwona Simba na ataenda kucheza akitikisa makalio yake mbele ya Simba . Si ushujaa ni upumbavu na kukosa akili.

Watu wenye akili wakikutizama wanasema HIIII.....! Wana shanga sana na kujiuliza "HUYU WA WAPI HUYU?

Walichokifanya Marekani ni kuonesha WHO THEY ARE. MADURO ULINZI WAKE HUWEZI UFANANISHA NA NCHI YOYOTE EAST AFRICA AND CENTRE. PENGINE ALL OF AFRICA. Alikuwa analindwa na Wanajeshi wa URUSI, CHINA NA IRAN na CUBA. Jamaa wameenda mtwaa kama KIFANGA CHA KUKU KINAVYOTWALIWA NA MWEWE.

Sasa ngoja nilewe pombe zangu kali then nianze kutapika kuwa Who is Marekani. Na Nyie Vilaza mnishangilie nikiwa nawapaswa Marekani. Wenye akili watasikitika na kusema HIII...!
 
Sasa hv babu Trump akisema jambo khs Tanzagiza lazima mwanamke mmoja hapo tanzagiza Manyonyo yake yatoe maziwa bila kukamuliwa πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli kauli za kilaza.
 
Who are you hawa hapa
Your browser is not able to display this video.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…