Donald Trump, Samia Suluhu alikuita "WHO ARE YOU?"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kila ninapoangalia klipu hii, naona Bi. Msumi akiwashikia kiuno Marekani na mataifa ya Magharibi na washirika wake. Kisha ninapotazama mashambulizi makali wanayopata Iran hadi ulimwengu unabaki katika mshangao, Itoshe kusema kwamba kama nchi tunaongozwa na mwendawazimu.
 
Marekani shikilieni hapo hapo. Anakaribia kutoa mlio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…