Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Mkuu zikipatikana Masters za Marine utanipa taarifa. Kama za UK naona hawaweki kabisa za Marine na wao ndio best Kwa tasnia ya marine.
Uholanzi nao hawatoi,Malta na World Maritime University-Sweden wao kupata Schoralship mpaka upelekwe na serikali yako au mwajiri au taasisi.
 
Kuna scholarship kutoka ubalozi wa Ufaransa pia, Ni mpya flani hivi so watu wengi hawajazigundua unaweza jaribu bahati yako kama unakidhi vigezo.
Mzee tupeane connection!! Link naiomba
 
Mbona kuna jamaa aliweka hizi nyingi tu au madhani kuna za konektion kibongobongo
pambaneni hizi hapa kama mna vigezo


 
wakuu hivi motivation letter ndo maana yake nn wakuu..nimekuta mahala kama kigezo cha kuambatanisha unapo omba chuo ..msaada jamani
Letter ya kuwaonesha kwanini umekuwa motivated kusoma hicho chuo ..au kwa maana nyingine wanaitaga statement of purpose, mara nyingi huwa ni words 500 kuendelea.
 
Msaada jaman,mm uv kwa wale ambao tumemaliza diploma ya nursing and midwifery,ufadhili wa kusoma nje upo
 
Mwenye sample ya Motivation letter msaada please wadau
 
Habari
 
Wakuu naomba mnisaidie kuhusu equity and merit scholarships, interview zao zikoje.. zinacover nini na nini?
Interview zao ni rafiki mno, but inahitaji uwe umejiandaa. I am a proud beneficiary of the scholarship, check me nikupe madini yatakayokusaidia.
Hongera kwa kuwa shortlisted for the interview, japo muda wa kujiandaa ni mdogo, i believe you will be fine Vee94
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…