Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

POST GRADUATE DIPLOMA IN MASS COMMUNICATION
naulizia jamani Kama Kuna Mtu kaona scholarship za Post graduate diploma in mass communication or journalism
boss watafute daad na dw... mwisho mwezi huu wa nne
 
Habari wanajamvi,,,,naitaji scholarship za information technology (IT) full funded, kwa mwenye tetesi za iyo kitu msaada tafadhali[emoji120]
 
Nahiitaji scholarship ya Kusoma Mambo ya lugha ya kingereza

Ambayo hipo full funded
 
Zipo. ..kuna site moja Netherlands wanatoa shortcourse for 2wks inakua na ufadhili wote maranyingi inakua mwezi wa 9...try to Google Netherlands shortcourse utawapata
Link kama unayo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wakuu naweza kupata scholarship ya kusoma bachelor degree ya accountancy kwa kutumia cheti cha Bodi ya Wahasibu Tanzania (NBAA) ATEC level 2
 
Wadau naomba msaada wa maelekezo ya kufuata kwa ajili ys kusoma Masters in Economics, iwe full funded scholaship.
 
Uzi mzuri

Scholarships za china/Korea/UK/Turkey/India
Nazihitaji sana
 
Msaada wakuu namna ya kupata scholarship...na msaada katika documents muhimu kwa mwaka 2023. Upande wa Phd, nina (M.A. Ed.)
 
Back
Top Bottom