Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 551
- 895
Kwa waliomaliza advance wanaeza pata scholarships za ndani ama nje
Na kama zipo tujuzane
Na kama zipo tujuzane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nikiwa na pesa zangu afu nataka kusoma ulaya?Hii kitu inahitaji usiwe mvivu..
1.km unahitaji kusoma ulaya and US ...hakikisha umemaliza English test zile na unacheti kabisa.
2.za Asia hakikisha unavyeti vyako ume certified kwa wakili. ..then kaa chini tafuta. .China, Korea and India zipo sana.
NB
Ulaya kuna ambazo hazihitaji English test ila nichache sana
1...apply chuo unacho taka..lipia application fee.
Km amepata chuo...aambatanishe ile invitation letter iliaombe ufadhili...zipo nyingi sn onlinewadau kuna mdogo wangu aliomba scholarship chuo Xavier kipo Ohio, wamempa tution fees na storebooks Ila wanamwambia ajitegemee meals and accomodation na form ya F1 to 20 form hawajampa kwasababu account yake ina inasufficient balance angalau ya kumtosha mwaka mmoja. Naomba ushauri wenu anaweza kufanya nini kutimiza ndoto zake
wadau kuna mdogo wangu aliomba scholarship chuo Xavier kipo Ohio, wamempa tution fees na storebooks Ila wanamwambia ajitegemee meals and accomodation na form ya F1 to 20 form hawajampa kwasababu account yake ina inasufficient balance angalau ya kumtosha mwaka mmoja. Naomba ushauri wenu anaweza kufanya nini kutimiza ndoto zake
nisaidie links za ufadhili mkuuKm amepata chuo...aambatanishe ile invitation letter iliaombe ufadhili...zipo nyingi sn online
7 8 8 m.Kwa waliomaliza advance wanaeza pata scholarships za ndani ama nje
Na kama zipo tujuzane
Sijakupata mkuu7 8 8 m.
Samahani mkuu sikumbuki hata kama niliwahi kuandika hiki kitu,nadhani ni typing error. [emoji848]Sijakupata mkuu
VIP umepata dondoo zozote za ufadhili wa masomo ya nnjeSamahani mkuu sikumbuki hata kama niliwahi kuandika hiki kitu,nadhani ni typing error. [emoji848]
Hapana ndg yangu.VIP umepata dondoo zozote za ufadhili wa masomo ya nnje
Poa poa mkuuHapana ndg yangu.
Kama unataka scholarship unapaswa usichoke ki-search online.Habarini Ndg ZANGU , baada ya kuona uzi huu nmefarijika sana kwa maana hata Mimi ninashauk ya kwenda kusoma masters lkn nataman ingekua ni nje ya nchi ...ningeomba kuungana na Ndg yng hapo juu mnipatie maelekezo ya namna ya kupata ufadhil ... Mimi ni mwajiriwa serkalin kama mwl wa shule ya SEKONDARI, asnt nawasilisha