Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Anza na hii hapa. Mlango wa application kwa mwaka huu umefunguliwa tarehe 1 August na utafungwa tarehe 31 August. See the link below:Nna shauku ya kusoma Masters lakini hiwe ni Scholarship ya ndani ya nchi au nje... Tafadhali wakuu mkiwa na link mtusaidie humu tufanye maombi
RB nenda NECTA watakupa itaratibuWakuu nilichukua result slip ya forms six ila Vijana wa boada boda wamepita na mkoba result ikiwa ndani naomba msaada kwa anaejua nianzie wapi
Mtu anayetaka kwenda kusoma lugha mfano English language pia anatakiwa afanye kwanza mitihani ya lugha kabla ya kwenda kusoma hiyo lugha!!!Kafanye mitihani ya lugha kwanza.
Lugha unasoma kama lugha. Mitihani ni kwa ajili ya kupima uwezo wa kusikia, kuongea, kuandika, na kuzungumza kingereza.Mtu anayetaka kwenda kusoma lugha mfano English language pia anatakiwa afanye kwanza mitihani ya lugha kabla ya kwenda kusoma hiyo lugha!!!
ukipata naomba unitagWadau naombeni machimbo ya scholarship natanguliza shukrani
degree ya course ganiKama una degree na una bajeti ya kuanzia M 7 achana na shule njoo nikuelekeze uombe intern USA na ndo mwazo wa kusettle huko.
Kilimo,tourism,elimu.engeneringdegree ya course gani
Mimi nna BA Education. Naomba nielekezeKama una degree na una bajeti ya kuanzia M 7 achana na shule njoo nikuelekeze uombe intern USA na ndo mwazo wa kusettle huko.
Je ya environmental health science huwez pataKilimo,tourism,elimu.engenering
Hauna scholarship zingine mkuu?Anza na hii hapa. Mlango wa application kwa mwaka huu umefunguliwa tarehe 1 August na utafungwa tarehe 31 August. See the link below:
Equity and Merit international scholarships | Master’s | The University of Manchester
If you are a prospective master’s student from Uganda, Tanzania or Rwanda, you might be eligible for our Equity and Merit Scholarship.www.manchester.ac.uk
HAMISI Nuru