Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Hii scholarship nzuri sana ni vile wenye lower second GPA hatutakiwi.
 
Wakuu kwa anaefahamu partial sponsorship za SUA zinapatikana vipi iwe kutoka serikalini au mashirika binafsi, nataka nikapige masters hapo... mfukoni nina hela ya kutosha ada tu kwa miaka yote miwili. Hivyo naomba tujuzane wakuu ili nipate hata pesa za meals, accomodation, books na stationery tu.
 
kwa kozi za kada Gani kama uchumi,utalii au mazingira n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…