Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Msaada jamn mwenye anajua jins ya kupata scholarships za degree upande wa afyaaa
 
Mbona naona kama kuna malipo unatakiwa ulipe au sijaelewa
 
Halafu kama ungeweka link za online application ingekua poa mkuu.
ndio....
1. Petrochemical and Polymer Engineering
2. Material Innovation and Design Engineering
3. Civil Engineering
4. Mechanical Engineering
5. . Integrated Agricultural Technology and Food Safety Management (nafasi ni 5 kwa kila kozi)
sawitree_eng@g.sut.ac.th
Email zote za docs kwa anuani hiyo
Link: http://web.sut.ac.th/asean/
Zinaoneshwa kama kwa ajili ya Aseans, but ukweli ni kuwa ni kwa ajili ya International students wote. Ombeni vijana.
 
Mbona naona kama kuna malipo unatakiwa ulipe au sijaelewa
hulipi chochote ukipata scholarship. huo ni mchanganuo wa ada na michango.
ukipata hiyo ni full.
utajigharamia visa na nauli ya kuja huku tu
 
Scholarship nyingi zinataka TOEFL hebu tupeana uzoefu maandalizi yake na namna ya kujiandaa kwa ujumla
Nenda british council pale utafundishwa na pepa utafanyia hapo sio ngumu saaaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…