Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Habari, kwa wapenzi wa ubuyu na wajasiriamali,tunauza ubuyu mtamu wa Zanzibar,tupo Zanzibar na tunautuma mpaka bandarini dar es salaam kwa sh. 28,000 tu kwa ndoo ndogo ya Lita 10.gharama ya usafirishaji ni juu yetu wewe uje bandarini tu kuupokea,kwa mikoani utagharamia usafiri wa kutoka bandarini dar es salaam mpaka ulipo.

Tunapokea oda ndio unapikiwa ili upate fresh na utasema kama utokee pili pili ama laa kutegemea na mahitaji yako. Kwa wanaofahamu bei halisi ya ndoo ndogo nje ya Zanzibar watajua kwamba hii ni offer ambayo hutakiwi kuikosa.

KARIBUNI SANA
Mawasiliano wasapp/SMS/call no. 0713763595
 
Hivi unatengenezwa kwa Mchanganyiko gani hasa Nasikia mzuri sana
 
Habari, kwa wapenzi wa ubuyu na wajasiriamali,tunauza ubuyu mtamu wa Zanzibar,tupo Zanzibar na tunautuma mpaka bandarini dar es salaam kwa sh. 28,000 tu kwa ndoo ndogo ya Lita 10.gharama ya usafirishaji ni juu yetu wewe uje bandarini tu kuupokea,kwa mikoani utagharamia usafiri wa kutoka bandarini dar es salaam mpaka ulipo
Tunapokea oda ndio unapikiwa ili upate fresh na utasema kama utokee pili pili ama laa kutegemea na mahitaji yako. Kwa wanaofahamu bei halisi ya ndoo ndogo nje ya Zanzibar watajua kwamba hii ni offer ambayo hutakiwi kuikosa.
KARIBUNI SANA
Mawasiliano wasapp/SMS/call no. 0713763595
Hellw....jumla lita kumi ubuyu mingapi??
 
Je, huu ndo ule wa mzee Issa, au ni tofauti? Nadhani kinachofanya ubuyu wa Zanzibar uwe maarufu ni fomula ya upishi wa mzee Issa, siyo tu kwa kuwa unatokea Zanzibar
 
Je, huu ndo ule wa mzee Issa, au ni tofauti? Nadhani kinachofanya ubuyu wa Zanzibar uwe maarufu ni fomula ya upishi wa mzee Issa, siyo tu kwa kuwa unatokea Zanzibar
Hapana huu si wa Mzee issa ila kama ningekudanganya nikakwambia ni wa nzee issa kama wafanyavo wengine basi ungepata uzito wa kutofautisha kwa kufanana product yake.
 
Acha niseme kweli tu mie nilijua kuna umbea!
hilo neno tumelizoea vibaya
 
Hii ni sample ya muonekano wake..
IMG_20170508_080531.jpg
 
Melbourne Research Scholarships (MRS)
Last updated: 02 May 2017 |

University of Melbourne

Masters/PhD Degree


Deadline: Ongoing (annual)

Study in: Australia

Next course starts 2017


Brief description:

Established by the University of Melbourne, this scholarship is available to high achieving domestic and international students undertaking a Master by research degree or Doctoral degree.

Host Institution(s):

University of Melbourne, Australia

Field of study:

Any eligible graduate research degree offered at University of Melbourne

Number of Awards:

About 300

Target group:

Domestic and International students

Scholarship value/inclusions:

The benefits of the Melbourne Research Scholarship vary depending on your circumstance and may include one or more of the following: living allowance, relocation grant, thesis allowance , and limited paid sick, maternity and parenting leave. See the full scholarship benefits.

Eligibility:

To be considered for a Graduate Research Scholarship, you must have applied for and meet the entry requirements for a Master by research or Doctoral degree at the University of Melbourne, or be currently enrolled in a research degree at the University of Melbourne.

Application instructions:

If you are a new student and have applied for a Graduate Research Degree by the relevant closing date, you will be automatically considered for the Graduate Research Scholarships. The University assesses applications for scholarships on an ongoing basis. For specific closing dates, refer to the relevant faculty/school.

It is important to read the Graduate Research Scholarships Terms and Conditions visit the official website to access the application form for detailed information on how to apply for this scholarship.

Website:

Official Scholarship Website: Graduate Research Scholarships : The University of Melbourne
 
Naomba kujuzwa kwa mwenye kujua imekuaje Uzi wangu huu ume merge au umetumwa ktk Uzi wa mtu mwengine na vipi nawza kuurudisha ujitegemee kama awali?
 
Back
Top Bottom