Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha nini bado hujaeleweka!!!Naomba mwenye uelewa anipe maelezo ya kutosha.
Naomba mwenye uelewa anipe maelezo ya kutosha.
GENIUS? kiongoz umekosea sana scholarship ni mtu yeyeote yule anapewa acha kutishia watu shubaaaamitKwa uandishi wako,hata hiyo scholarship hutapata maana mara nyingi huwa wanapewa watu ambao ni genius.
Nenda jukwaa la biashara unatuharibia Uzi kwa habari zako za ubuyu wakati watu wameanzisha kwa ajili ya scholarshipHii ni sample ya muonekano wake..View attachment 506355
Hapana mkuu Kuna tatizo la kiufundi limetokea nilijaribu kuuliza huko juu lakini hakuna aliyenijibu yaani nilianzisha Uzi wangu ktk jukwaa la biashara, lakini cha kushangaza ukiclic unakua directed huku kwenye scholarshipsNenda jukwaa la biashara unatuharibia Uzi kwa habari zako za ubuyu wakati watu wameanzisha kwa ajili ya scholarship
Hongera mkuu kwa kuweza kugharamia masomo ya kijana wako mpaka anafanikiwa kumaliza ila mimi naona ni vizuri ungesema yeye anafanya kozi gani na anataka kufanya masters ya kozi gani pia nchi anazopenda kufanya hiyo masters nadhani ingerahisisha washiriki wengine kutoa msaada kulingana na yeye mlengwa anavohitaji.Jambo wakuu. Sipendi kuwasumbua kwa maneno mengi maana najua kutokana na hali halisi ya sasa hivi, mtu hachelei kukukwaa kwenzi kwa jinsi hali imekuwa ngumu kila kona. Kwa wale wanaojilia vyao bila kelele wala mikwaruzo Mungu aendelee kuwakirimia. Mimi ni mzazi peke mwenzangu alishatangulia makao ya milele. Nilibaki na dogo bado mdogo nimejitahidi anamaliza chuo kikuu mwaka huu. Kwa bahati mbaya sana mkopo alipata robo tu kwa hiyo robo tatu nilikuwa najipigapiga kwa kuungaunga mpaka sasa anamaliza 4 yrs. Sasa anatamani kufanya masters na sijui ataanzia wapi. Naombeni ushauri na msaada wa mawazo nifanye nini au nipite wapi aweze kufanikiwa please. Najua kuna watakaobeza na kushoboka na kejeli nyingi lakini yote hayo hayatabadili kwamba mtoto anapenda kusoma na wala haitafanya wanaotaka kunisaida waaache. Kwa hiyo nakuomba ndugu kama unaona hili jambo halikupendezi usiandike cho chote cha maudhi maana mapito niliyopitia yameshatosha usisugue chumvi kwenye kidonda tafadhali, we pita kimyakimya tu. Ahsanteni wadau