Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Ahsante kwa ushauri mkuu. Kijana anasoma pale UCLAS anafanya BSc in Building Economics. Mwana wakati unaomba kitu sidhani kama una uchaguzi bali kupokea kinachopatikana. Nchi ni ile itayokuwa na offer nzuri zaidi preferably Scandinavian countries, Germany, USA and like.
 
Mkuu ulimaanisha Austria au Australia?
 
Ahsante kwa ushauri mkuu. Kijana anasoma pale UCLAS anafanya BSc in Building Economics. Mwana wakati unaomba kitu sidhani kama una uchaguzi bali kupokea kinachopatikana. Nchi ni ile itayokuwa na offer nzuri zaidi preferably Scandinavian countries, Germany, USA and like.
 
NIMEPEWA TAARIFA KAMA KUNA MWALIMU WA LUGHA YA KINGEREZA ANATAKA KUJIENDELEZA KUNA PROGRAM MPYA HAPO SCHOOL OF EDUCATION UDSM. NI FULL FUNDED FOR SHORT LISTED ILA WANATAKA SANA WADADA NIMESIKIA MNAWEZA APPLY INGIA KTK WEBSITE YAO.
Sikuelewa kabisa. Anataka kujiendeleza kwa kiingereza? HIyo program mpya inahusu kujiendeleza kwa somo gani?
 
Husika na kichwa cha habar hapo juu

Nina mdogo wangu amemaliza form six 2017 amechukua mchepuo wa science kwa combination ya PCB so nlikuwa naulizia nawezaje pata scholarship za nje ya nchi kwa course za udaktar?

Nawasilisha.......
 
Hata matokeo bado mkuu ??mbona haraka ivoooo???
 
watafute AUL watakusaidia ila jipange hela ya kutosha yani
 
Asante sana na pongezi kwa mfungua uzi huu na wote mnaochangia mawazo yenu katika kujengana

ni ukweli kwamba watanzania wengi tunapenda kusoma nje ili kujaribu radha ya elimu ya upande mwingine wa Dunia.Binafsi nmekua nikipitia wakatimgumu sana katika hili ,ila kwakua kuna uzi hapa naomba kama itawezekana nami nipate ushauri kidogo.

mimi nimesoma(bachelor of arts with education) na masomo nliyochukua ni political science na geography .katika geograph kuna course tulisoma inaitwa Geographical information systems (G.I.S) ,naipenda sana na natamani niisomee nje ,ila sasa kuna maswali yananiumiza kichwa
1;vyuo gani vinatoa
2;je nina vigezo vya kuisoma kutokana na degree nlichochukua
3;ninaweza kupata scholarship ya free kweli?
4;kulingana na bachelor yangu je ni masters ipi itanifaa na ina soko

USHAURI TAFADHALI
 
labda nikajaribu huko asee mwaka huu kusomea hyo kitu bongo ni ngumu lazima uwe umefaulu physics angalau D kwa form six na C mbili za Biology na Chem halaf bam usipate f ni hatarii
 
labda nikajaribu huko asee mwaka huu kusomea hyo kitu bongo ni ngumu lazima uwe umefaulu physics angalau D kwa form six na C mbili za Biology na Chem halaf bam usipate f ni hatarii
utaweza kukisoma kichina aisee...
 
Ukirudi Tz unapangiwa Mwananyamala
Wengi waendao China huku wamekataliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…